Jionee maajabu! Hizi ndizo aina tatu za wanawake na styles zao

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo type umegusa wallah
 
Stunted nadhani ni kijana bado mimi sasa mtu mzima, ila niisoma post yako nimecheka nimemwonyesha mke wangu naye kacheka hadi machozi yamemtoka. Mmmmh umefanya analysis karibu mmmno na ukweli. Nadhani umetoa msaada mkubwa sana kwa vijana wenzio wa kiume lakini kwa mabinti zangu pia jiangalieni uzuri mnajiharibia. Stunter I salute.
 
Shukrani Mkuu, Mpe pole shemeji kwa Kumvunja mbavu, kikubwa ujumbe ufike
 
Type namb 3 wengi nivicheche sana tena kwanyumba zetu zakupanga wapangaji wengi hawafai watakuchapia hata bafuni au ukitoka2 kwenda job huku nyuma mpangaji mwenzio anajisevia kiuraini
 
Hiyo namba mbili,ikifika kipindi cha likizo, utamsikia,...baby nimepata order ya masweta na mataulo kutoka shule ya st maria,ila nimepungukiwa na hela,order ni kubwa.
 
Hiyo namba mbili,ikifika kipindi cha likizo, utamsikia,...baby nimepata order ya masweta na mataulo kutoka shule ya st maria,ila nimepungukiwa na hela,order ni kubwa.
Hahhaa hapo analizwa mtu
 
Type namb 3 wengi nivicheche sana tena kwanyumba zetu zakupanga wapangaji wengi hawafai watakuchapia hata bafuni au ukitoka2 kwenda job huku nyuma mpangaji mwenzio anajisevia kiuraini
Kweli asee type 3 hawafai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…