Jionee mwenyewe jinsi teknolojia inayotumika Israel kuzuia makombora ilivyoboreshwa, akili iliyotumika kubuni huu mtambo si ya kawaida

mwaka 1945 jews walikuwepo ndio wewe point yako hapa ni IQ au kutapakaa kama panya mbona hueleweki ebu nyoosha maelezo kwani kama walikua wametapakaa au hawajatapakaa point yako hapa ni nini hasa, walikuwepo wana hela na hadi sasa wana hela
 
point haikua huyogen bomb mzee point ilikua ni IQ za wayahudi na inovations zao ndo atomic bomb ikaja hapo acha kupoteza mwelekeo
 
Kwanza hao unaosema hata huyo Robert Oppenheimer alikuwa ni wale wajerumani wenye mchanganyiko na uyahudi kwa mbali, hakuwa ana practice dini ya kiyahudi, sasa habari za kunambia jews walikuwa wanatengeneza Atomic Bomb 🤣🤣🤣, Kwa hio jews wote walikuwa wanatengeneza bomb la atomic?🤣🤣🤣🤣
 
point haikua huyogen bomb mzee point ilikua ni IQ za wayahudi na inovations zao ndo atomic bomb ikaja hapo acha kupoteza mwelekeo
Nakuonyesha kwamba ukijifanya una kichwa kuna watu wenye vichwa kuliko wewe, na hawana matambala kujisifu, na wanafanya maajabu kuliko wewe, Atomic Bomb unayoipigia kelele, kuna vichwa walitoa hydrogen bomb toka Hungary huko, na ni noma na nusu, balaa lake hio atomic bomb yako inarudi tuition kusoma, we unacheza wewe...
 

kwani hapa tunaongelea uyahudi dini mbona una kichwa kigumu sana ndugu?
 
mzee atomic bomb ndo ilichangia vita ya pili kusimama baada ya japan kusurender, narudia kukukumbusha hapa hatukua tunaongelea hayo mabomu bali ni scientific inovations, halaf kama bado unabisha uhusika wa wayahudi kwenye atomic bomb project nenda kamsome einsten
 
Unaijua bajeti ya nchi yao? Fatilia alafu uniambie hiyo $3B ni kitu gani mbele ya bajeti yao ya mwaka mmoja tu.
 
alafu hapa unapewa facts mzee vitu vyote unapewa na data sio porojo kama zako
 
unauliza bidhaa za israel mimi naongelea wayahudi ona utavotapatapa hujulielewi unauliza bidhaa za wayahudi na wakati unatumia facebook na google? kweli we bado ni panya kabisa
Sasa hao wayahudi wenye akili, matajiri sio ndio wapo kwa wingi huko Israel?, watumie utajiri, akili na uwezo wao kijeshi tuwaone duniani, kila kitu wamepitwa, kila kitu wamepigwa mbali sana.

Ipo hivi we jamaa, Google na facebook si kitu, ni trending za kibiashara, hata mimi natengeneza search engine, ipo hivi always haijalishi unafanya nini, lakini kuna wababe wapo wanakuangalia na wapo kimya...

TikTok hio hapo Chinese wametoa sasa hivi youtube hao google wamekuja na youtube shorts, instagram ambao ni hao facebook wamekuja na insta reels, kikubwa wanaiga kupambana na tiktok kitu ambacho hawawezi, shorts videos kaanzisha tiktok.

Hakuna maajabu ni vitu vya kawaida sana.
 
unachekesha sana unavosema google na facebook ni kitu cha kawaida, kaulize tawala za kiarabu zilivoangushwa kipindi cha arab spring kupitia vuguvugu ambazo social media zilichangia kwa kiasi kikubwa kusambaza taarifa na kuorganize maandamano, eti ata wewe unaweza kutengeneza search engine? duh kweli umeishiwa mawazo
 
alafu hapa unapewa facts mzee vitu vyote unapewa na data sio porojo kama zako
Huna fact yeyote, jews walishafanyiwa hadi tests na wakagundulika wana average IQ tena below kuliko nchi nyingi tu za Ulaya, wachambuzi na wasomi walichosema ni kwamba katika tamaduni zao inaanzia katika familia kuwajenga kupenda science. Na jews unaosema wapo kwenye inventions ni Ashkenazi ambao ni mchanganyiko wa Europeans na Jews, kuna Russian jews, kuna Italian, Germany n.k..

Jews hawana akili kama ulivyodanganywa kanisani kijana, kila kitu ni interests na kipaumbele hata hapa Tanzania tukitaka tuwe na kipaumbele katika masomo ya utengenezaji wa dawa na kilimo baada ya muda hakuna mtu anagusa, kuwa bora kwenye field flani sio wingi wa akili bali focus na kupenda unachofanya.

Wenye akili, majitu wapo ndio kama hao Japanese na Chinese, Germans n.k, hao ndio wanaogopwa uwezo wao kiakili ni mkubwa, na wapo kwenye field zote, Japanese unaona hizi toyota huku ni wao, hizi lexus ni wao, yani ni watu vitu vyao una shuhudia kwa macho, sasa hao jews wako wapi?

Kijana soma, acha kukaa vjiweni kudanganywa na wale wazee wanywa gahawa na kule kanisani, sometimes fikiri, sometimes tazama mazingira yanayokuzunguka na tumia akilizako, za kuambiwa changanya na zako....
 
ngoja nikuulize swali rahisi sana, unasema wayahudi watumie akili, utajiri wao na uwezo kijeshi tuwaone duniani, hivi unafikiri inch ya israel pale middle east inasurvive vipi kwenye ardhi ambayo imezungukwa na inchi maadui pande zote? we unafikiri ni neema za mungu au akili? mfano ingekua sisi tanzania ndo tumezungukwa na waarabu pande zote alaf waarabu ni maadui zetu hivi tungemaliza hata mwezi kweli? we si unaona waarabu walivo na roho ngumu??
 
nimekupa facts mzee nimekuta hadi list zote za wanasayansi waliopata noble prize kwa kipindi cha zaidi ya miaka 100 na kati ya hao wayahudi ni wangapi, sasa wewe kuja kusema hizo nchi nyingine wana IQ kubwa bila kuleta list au ushahidi wa inventions walizofanya ni porojo, kwa hiyo wewe ndo uache porojo njoo na data mzeee
 

tanzania kuwasha umeme tu kunatushinda ije kua hayo madawa ebu acha ndoto za alinacha naona umeanza kuota asubuhi au hujalala usiku nini ndo unalala sa izi?

nguo tu zenyewe tunavaa mtumba hadi leo hayo madawa ndo utayawezea wapi mzee?
 
Jamii za watu wenye high IQ ni kutoka Asia mashariki ambao ni hao wachina, wajapan, wakorea hii ni tafiti ya kimataifa yupo sahihi
 
Waonyeshe ubabe wao sasa, watu wenye akili nyingi duniani kote, matajiri na wenye ushawishi mkubwa sana katika serikali ya USA, wenye nguvu za kijeshi na hawawezi kupigwa na taifa lolote....🤣🤣🤣🤣

Sasa watumie uwezo wao kijeshi, watumie akili zao ku neutralize hao arabs wasiendelee kuwapiga sio lazima watumie nguvu, maana ya kuwa na akili nyingi ni unakuwa flexible unatumia akili ulizonazo kutatua chagamoto katika mazingira yanayo kuzunguka.

Israel hawana maajabu mzee.
Ngoja nikupe za chini kabisa ambazo niliingia mwenyewe kutafuta info. na huzipati kokote, nachokuambia ni email zilizovuja usiniulize nimetoa wapi..

Kuna kampuni ya Mexico ilikuwa inaitwa HYDRA, hawa jamaa walikuwa wanatengeneza drones, katika kipindi cha mapigano kati ya Georgia na Russia, Georgia walikuwa wananunua drones kutoka Israel.

Hio ni miaka ya 2006-2008 hapo.

Serikali ya Mexico waliweka pesa katika kampuni hio, Zile drones za Israel zilikuwa zinakuwa hacked na Russians na kutua juu ya ardhi, Russians walikuwa wanaingilia signal.

Baada ya Georgia kufanya majaribio katika drones za HYDRA waligundua kwamba zina uwezo mkubwa kiusalama na kiulinzi kuliko drones za Israel, ulipotaka kuzi hack zilikuwa zinarudi base zenyewe zinajiongoza, yaani zikihisi threat au kuwa hacked zinarudi zilipotoka hata kama signal zimekuwa jammed, can you imagine?

Georgia wakaomba wauziwe drones na Mexico, Mexico waka kataa kwa sababu wangeingia kwenye migogoro ya kisiasa na Israel. Kumbe Israel kuna wapiga deal baadhi waliuza codes za zile drones kwa Russians kwa makubaliono Russian atawapa codes za s300 zilizoko kule Syria, na ikawa hivyo, lakini zile drones za Hydra ni noma na nusu, hata kama angetokea mpiga deal ana codes, zilikuwa haziwezi kuwa hacked.

Hivyo Israel na Russia walikuwa wanapiga deal, Israel anamuuza Georgia na Russia anamuuza Syria, ndio lile shambulizi Israel walikwenda kupiga Syria wakasema wame jam s300 kumbe Russia kawapa codes, Iran ikatuma engineers kwenda kufanya maintenance baada ya hapo Israel hawakuweza ku hack.

Mexico ni top exporter wa high tech products katika nchi za Latin America, ndio maana kuna kipondi US walianza kufikiri kutoa viwanda China na kuviweka Mexico.

Nakuambia hivyo kwa sababu, kuna nchi zina tech za juu na wapo kimya, na wanafanya maajabu, yani kuna majitu yana akili duniani, mpaka uwe una chimba vitu, lakini wafuatiliaji wachache ndio wanajua hizi taarifa, wachache ambao ni werevu katika majority ndio wanajua ukweli. Ndio wana monitor hii dunia wakiwacheka wajinga wengi waliodanganywa na medias.

Mi nachimba vitu hadi kwenye vyanzo huvipati google.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…