Jionee mwenyewe jinsi teknolojia inayotumika Israel kuzuia makombora ilivyoboreshwa, akili iliyotumika kubuni huu mtambo si ya kawaida

Hivi unajua kwamba pamoja na udogo wa Israel, Pato lake la taifa kwa mwaka huu pekee ni dola za kimarekani bilioni 560 sawa na trilioni elf 1,400 ?
 
hii dunia kuna mambo yanashangaza kweli.

Hivi binadamu unamuundia bomu kama hilo ili afe. Aisee

Wanatengeneza tatizo anatafuta na suluhisho. Hiyo ni biashara
hao waisrael wapo vzr
 
sw waarabu wanasubir nn kuwasaidia palestina?
 
Jiulize hao Saudia wangekuwa kwny vita kama ya Israel leo si wangekuwa sw Libyia ? Israel miaka yote yupo kwenye mtanange ila bado anajenga nchi yake , na kazungukwa na maadui , Israel wapewe maua yao , siku wakiachiwa miaka 30 bila chokochoko zozote utaona atakavyowaacha hao Saudia kimiundo mbinu , taifa la juzi 1948 kipind hiko Saudia wapo hatua kadhaa ila leo hii Israel wapo juu kiuchumi
 
Waisrael ndio wanashikilia mifumo ya fedha, suala la pesa sio tatizo kwao ila hawasemi hadharani, missle moja ya iron dome kuwa dola elf 50 kwao ni kama kununua mawe ya manati.

Mambo ya fedha hayawaumizi vichwa.
Wasingukuwa wanaomba misaada basi
 
Waisrael ndio wanashikilia mifumo ya fedha, suala la pesa sio tatizo kwao ila hawasemi hadharani, missle moja ya iron dome kuwa dola elf 50 kwao ni kama kununua mawe ya manati.

Mambo ya fedha hayawaumizi vichwa.
Nimekuelewa kuna mtu mzima na akili zake aliwahi kuniambia, Israel matajiri wakubwa duniani ni mayahudi na wanamiliki mifumo mingi na hata kanuni nyingi za kuandalia mivinyo wanayo wao, na wanakodisha tu sio kwamba wanauza na mataifa makubwa tunayoyaona yenye nguvu yanamtegemea Israel kwa Tech nyingi tu.
 
Matajiri wengi wa Kiyahudi hawaishi Israeli.Ulaya na America ndiko kuliko na Wayahudi wengi kwenye mfumo wa pesa wa kidunia.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
akili zako zimekaa kiafrik , ndio maana ukipokea mshahara laki 7 , ww ni kunywa bar mpk ibakie buku hukumbuki kuwa kuna kesho , unahisi ndan ya Israel hakuna maisha baada ya hii vita ? Akili za mwafrika huonekana kwenye maandish yake , hata India leo akiingia vitan lzm ataomba msaada , ni nchi zinazoongozwa na wehu kama Urusi ndo zinaishi kutafuta ubabe sio kujali hali za wananchi wao sabab wamewaziba midomo
 
Utajiri ni mifumo na mipango.
 
Tumia akili braza hakuna kombora la Tsh 125M, ingekuwa hivo hata sisi TZ tungekuwa tunavimiliki ok so punguza shobo yakheee!!

Alafu punguza pia ujinga, hakuna kombora lililotengenezwa kienyeji ok, so unamanisa Iran inatengeneza vitu kienyeji?

Iron Dome ni level nyingine, tukubali tu yaishe, coz kazi yake imeonekana Duniani hata Ayatollah anajiuliza hii akili Muisrael kaitoa wapi.
 
Kwani lazima unitukane ndio nikuelewe.
Iron Dome ni kwa ajili ya kuzuia short range rockets ile ni short-range interception system, ni best katika class yake.

Air Defense Systems zipo nyingi duniani, zipo za long range lakini huwezi kuweka class moja na Iron Dome, ndio maana nakuambia ni bora katika aina yake ya systems katika short range.

Iron Dome inasaidia kupunguza namba ya vifo vya wananchi wa Israel, Iron Dome interceptor inauzwa dola 50K sasa kama unabisha siwezi bishana na wewe,kupunguza gharama ndio maana ina intercept rockets ambazo zina uelekeo unao kwenda kupiga kwenye population ya watu, rockets kutoka Gaza zinazoelekea sehemu za wazi iron dome hai intercept.

Njoo na facts sio matusi.
 
Sijibu kama hoja huna, mambo ya mshahara na pombe yanaingiaje?
Lete hoja sio ngonjera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…