Jionee mwenyewe jinsi teknolojia inayotumika Israel kuzuia makombora ilivyoboreshwa, akili iliyotumika kubuni huu mtambo si ya kawaida

cha kwanza unachotakiwa ujue kuhusu marekani ni kwamba hua haina utaratibu wa kupokea wageni kama unavosema, us haipokei wageni tu ili mradi eti mgeni ni mgeni, usa hua anapokea watu ambao ni cream na talented ambao anajua wanaenda kuchangia nchi yake kiteknologia na kiuchumi, hana muda na vilaza so usifikiri ana ukarimu na wageni yule ni bepari mzee yuko kimaslahi zaidi.

na ndio maana wanasayansi wengi waliokua wanakimbia kutoka ulaya ya hitler us alikua anawakaribisha akijifanya mkarimu kwao kumbe mwenzao alikua anawinda teknolojia yao na ujuzi wao, mfano wa wasayansi nimekupa ni eisten na wengine wengi. mfano mwingine ni operation paperclip ambayo ndo imemfanya US awe mbabe wa makombora duniani na space technology

pili black america hawakuingia kama wageni yan hawakukaribishwa bali waliingia kama watumwa yani machine nguvu kazi.

kwa hiyo US alikua anapokea jews wengi sababu walikua wako smart kwenye vichwa vyao so alijua wakija lazima watachangia uchumi wake kukua na ndivo ilivokua, mfano muda huu tunaoongea kati ya matajiri 400 wa marekani around 139 ni wayahudi, alaf wako only 1%, mbona hatujaona hao weusi? mbona hatujaona hao wachina na indians waliokaribishwa kwa pamoja, why jews? sasa iweje useme watu hao hawakuhusika na kuchangia uchumi wa marekani?

hao matajiri 139 wa kiyahudi wamarekani mfano pesa yao tu wakisema wailete apa africa italisha bajeti ya serikali ngapi za kiafrica?

Alafu kilichomuinua muamerica adi sasa ni kwamba aliinvest kwenye sayansi na technologia mzee unapoongengelea amerca unaongelea technology ya dunia usituletee apa habari za mashamba ya tumbaku hapa hakuto kijijini sikonge
 
Umejenga hoja zako vizuri na kwa mantiki, sina shaka unasoma vitabu , unafuatilia habari n.k.
Hoja kubwa katika bandiko lako ni kuhusu vijana wengi kusikia hadithi tu , hawajishughulishi kusoma kabisa
 
Waisrael ndio wanashikilia mifumo ya fedha, suala la pesa sio tatizo kwao ila hawasemi hadharani, missle moja ya iron dome kuwa dola elf 50 kwao ni kama kununua mawe ya manati.

Mambo ya fedha hayawaumizi vichwa.
Unamaanisha nini unaposema "wanashikilia mifumo ya fedha"?

Fact ni kwamba, Israel ni nchi yenye most powerful lobbying infrastructure ndani ya nchi ya Marekani. Jamii na taasisi za Kiyahudi zina nguvu ya fedha na ushawishi mkubwa sana katika siasa za Marekani hususani masuala na sera za kigeni (foreign policy).

Hii ni hoja sahihi zaidi kuliko kusema tu "wanashikilia mifumo ya fedha".
 
Wewe ni mjinga, kutoa ujinga inabidi usome na uwe mfuatiliaji.
Hao jews ambao ni smart hawapo hata kwenye top 5, hata top 10 ya nchi zenye watu wenye IQ kubwa, imagine top 10.

Kama wangekuwa smart unavyosema wangekuwa hata kwenye top 10 lakini hawapo. Nikupe list.
1-Japan, katika nchi naweza sema watu wake wana akili ni Japan, fuatilia projects zao, Japan ina tech hao Israel hawana na ndio center kubwa ya kiteknolojia duniani.

2-Taiwan.
3-Singapore.
4-Hong Kong.
5-People's Republic of China.
6-South Korea.
7-Belarus.
Nakuendelea ya mwisho ni Germany.
Na hizo nchi zote hapo juu tunafahamu na tunaona matokeo, Germany inajulikana kwa tech zake za gari na engineering yake , Taiwan wanajulikana kwa tech zake za kibabe kutengeneza chip za simu, South Korea hapo kuanzia simu, tv, fridge, magari n.k tunawafahamu, tunafahamu kampuni yao ya Samsung ambayo inatoa simu zenye tech za hatari.

China tunafahamu hawa jamaa wamekuja na 5G kabla ya US, bado ana kampuni ya Huawei inayofanya maajabu.
Kila nchi hapo ina maajabu, hio Israel na watu wake smart wako wapi?

Kuwa smart haihusiani na utajiri, wanasayansi wangapi wenye akili na IQ za kufa mtu walikufa masikini? mtu kama Tesla alikufa hana kila kitu, lakini madini aliyoacha yameneesha watu na kusaidia dunia nzima, Tesla ni mwanasayansi mkubwa sana na mwenye heshima, na alifanya vitu vikubwa sana. Lakini alikufa masikini wa kutupa.
Ndio maana nakuambia ukitaka kuona matajiri nenda uarabuni kule, ukute gari za polisi ni lamborghini na Bugatti, wakati ukija US wanatumia gari zipo kama Taxi, huo utajiri walio nao upo wapi hao Jews?

Vitu vingine hauvioni hata kwa mcho mzee?, viongozi wenu wa dini wenye mahaba na Israel ndivyo wanawadanganya kwenye majumba ya ibada ujinga.

Mtu mweusi ni kweli alikwenda kama mtumwa lakini ndiye ambao walianza kunyanyua uchumi wa US. Walijenga miundo mbinu, walifanya kazi kwenye mashamba.

Jews wapo overrespresented kwamba ni rich, powerful and smart, labda u smart wa nyoko.

Israel ingekuwa na watu wenye asii ya kuwa smart na wenye pesa tungeona hata Israel wana gari za hatari hata vyombo vya usalama, wangekuwa na hizo akili tungewaona kwenye list ya wenye IQ, wangekuwa powerful kijeshi tungeona kwenye military power ranks.

Ni watu wachache wenye mahaba na Israel kidini, walitoka kanisani huko kudanganywa ndio wanasambaza hizo habari, wakisoma habari za kina Musa na Joshua wano relate na mambo ya leo wanaona ndio kama Israel ile ya daudi tajiri na mwenye hekima.
🤣 🤣 🤣
 
Ni sahihi, vita ni gharama, ingawa huo msaada wa kifedha wa dola bilioni 3 wa Marekani kwenda Israel kila mwaka hauna significance kubwa katika sekta ya kijeshi ya Israel kwa sasa. Hiyo dola bilioni 3 ina sura ya uwekezaji zaidi kuliko msaada.

Mwaka jana pekee Israel imetumia zaidi ya dola bilioni 20 kutoka vyanzo vyake yenyewe kwa ajili ya masuala ya kijeshi.

Kuhusiana na hiyo bilioni 14, hakuna taarifa rasmi kwamba Israel imeomba huo msaada. Juzi Biden aliiomba Congress kuidhinisha misaada kwa ajili ya Ukraine na Israel. Hiyo bilioni 14 ni speculations tu za vyombo vya habari. Hata hizo speculations pia hazisemi kuwa Israel imeomba bilioni 14.
 
swali rahisi sana naomba unijibu, katika hizo nchi 7 unazosema zina IQ kubwa naomba unitajie vitu walivovumbua hapa duniani mfano belarus imevumbua nini? china ameshavumbua nini cha maana kwenye hii dunia zaidi ya kucopy na kuiba tech yote ya ulaya, ebu acha kuongea bangi bana just try to be serious, unaelewa mana ya IQ kweli au leo umepata bando ya bure, nikutajie techologia walizozigundua wayahudi? alafu na wewe nitajie technologia walizogundu hao wa belarus wako, eti singapore duh! south korea juzi tu hapa hadi miaka ya 70 walikua wanaishi nyumba za nyasi kama huku kwetu isingekua kubebwa na us south korea angekua na nini yule? mchina yenyewe adi mwaka 1945 anatawaliwa n japan anaenda kupigana na mjapan na mapanga wakati mwenzake ana bunduki je hizo IQ zao zilikua wapi?
 
ulivo parata eti unasema Belarus ina IQ kubwa kuliko ujerumani hivi umelewa au? unaijua ujerumani wewe panya?
 
unajua why tesla alikufa maskini au hujui? unajua vita ya ac current na dc current?
 
huawei inafanya maajabu gani wakati kwenye simu hata wachina wenzake tu kama oneplus, oppo na xiaomi wanampiga bao sokoni? ndo utakuja mlinganisha na samsung au iphone?
 

asilimia 27 ya wanasayansi wa marekani waliopata tuzo za nobel ni wayahudi.
aya sasa nitajie wanasayansi wa kibelarus au ki hong kong hao unaosema wana IQ kubwa ambao wana tuzo za nobel.

wanasanyansi wa kiyahudi zaidi ya 1500 walihamia marekani kutoka ulaya wakikimbia utawala wa kinazi wa hitler. unaijua interlactual migration?

Jewish scientists form the largest single religious or ethnic group of Nobel Prize winners from the United States. In fact, as of 1977, Jewish scientists represented 27% of the United States Nobel Prize winners while only representing 3% of the general population (Zuckerman, 1977). This over representation is often attributed to the intellectual migration which occurred during the 1930's and resulted from fascist oppression in Eastern Europe. Particularly important was the migration from Nazi Germany when 1,150 Jewish scientists, forced to leave their homeland, emigrated to the United States (Nachmamsohn, 1979). Was this intellectual migration responsible for the increase in Jewish American Nobelists and the domination of American science in general after World War II? The myriad effects of this migration will be critically examined from the point of view of the United States as well that of post war Germany in order to ascertain the migrations impact on American science.
 
list ya wanasayansi wa kiyahudi waliopata tuzo za nobel kwenye field ya fizikia, sasa na wewe niletee list ya wanasayansi wa kibelarus au kisingapore hao wenye IQ kubwa

 

Economics​

 
kati ya mwaka 1901 hadi 2022 zishatolewa tuzo za nobel 900 za kati kati ya hizo tuzo 213 zimechukuliwa na wayahudi katika field mbali mbali za sayansi, so kusema jews are not smart na kusema belarus wana IQ kubwa inanifanya niwe na wasi wasi na uelewa wako, nahisi hapa ninachati na mgonjwa aliyetoroka hospitali ya vichaa mirembe huko dodoma labda ameiba simu ya nesi au mlinzi yenye bando
 
unaposema japan ana tech ambayo muisrael hana kua makini na maneno yako mana wajapani wenyewe wanajua kwamba bomu la atomic lililowafanya kusurrender word war2 ni project ya einsten ambae ni muyahudi sasa usifanye huku kila mtu akuone wewe ni limbukeni

alafu ulivo bwege eti unaongelea technolojia ya kutengeneza mafriji, friji mbona ata mimi naweza kutengeneza? hapa watu wanaongelea high tech field bana
 
Uwe unasoma vitabu, Japan alitawala baadhi ya majimbo nchini China kama Manchuria n.k, sawa unasema 1945 China walikuwa nyuma, je hao jews ambao ni matajiri, wenye akili za hatari na wenye nguvu kijeshi walikuwa wapi? si walikuwa wametapakaa kama panya, wengine hadi East Africa huku walikuwepo, hizo IQ zao zilikuwa wapi?

China inapata uhuru kutoka kwa UK 1949, Israel 1948, tazama utofauti wa kimaendeleo kati ya hao magenius wao na Chinese, Tazama uchumi kati ya hao magenius wako na Chinese.

Leo hii China iko wapi? ndio akili zenyewe hizo, kutawaliwa hata US alitawaliwa na UK.

Duniani nchi zenye uchumi mkubwa ni zipi, tunaanza.
1-USA.
2-China.
3-Japan.
4-Germany na kuendelea kwenye top 10 hao magenius wako wa mchongo hawapo. 🤣 🤣 🤣 Sasa watumie hizo akili kubuni tech wapate uchumi mkubwa. Hapo ndipo utajua kwa nini wataalamu wa mambo wanatambua uwezo wa nchi kama Japan na China, leo hii China ina uchumi kuliko UK aliyekuwa anaitawala.
 
mzee acha porojo nimekupa list za wanasayansi wa kiyahudi leta list za wanasayansi wa kichina na inovations zao acha kelele mingi, huo mwaka 1945 unauliza jews walikua wapi na wakati nimekuambia walikua wanatengeneza atomic bomb asee mbona kama unajitoa ufahamu?
 
We mjinga, South Korea na kampuni yake ya Samsung wanatengeneza vitu vingi, unajua maana ya research and development, unajua gharama ya kufanya research and development? unafahamu Samsung wanatengeneza chip za iphone? unafahamu Samsung wanatengeneza engines za ndege? Unafahamu Samsung wanatengeneza CT scans?

Inventions zao kwenye simuna televisoon ulishafuatilia, unafahamu ubabe walio nao kwenye uvumbuzi wa tech za vioo vya simu na televisions, sizungumzii hizi samsng fake za hapa bongo ambao wengi mnazo majumbani.

Unafahamu Samsung hao ndio wanatengeneza vioo vya iphone?

Unafahamu gari za KIA, ni SOuth Korea, hao Israel wenye akili, tajiri na nguvu kijeshi ziko wapi bidhaa zao?

Halafu usikariri atomic bomb ni deadly, kuna hydrogen bomb ambalo linaogopeka kuliko hio atomic, mgunduzi ni Edward Teller kazaliwa Hungary sio jew, ni Hungarian American, Hydrogen bomb ingepigwa Japan isingekuwa ina exist duniani, chukua hio utanishukuru siku nyingine, kwa maana umekariri Atomic sana ndipo uwezo wako ulipoishia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…