cha kwanza unachotakiwa ujue kuhusu marekani ni kwamba hua haina utaratibu wa kupokea wageni kama unavosema, us haipokei wageni tu ili mradi eti mgeni ni mgeni, usa hua anapokea watu ambao ni cream na talented ambao anajua wanaenda kuchangia nchi yake kiteknologia na kiuchumi, hana muda na vilaza so usifikiri ana ukarimu na wageni yule ni bepari mzee yuko kimaslahi zaidi.USA haikupokea wayahudi pekee, ndio maana nakuambia ni maslahi zaidi, scientists wengi tu toka ulaya walipokelewa na US mfano Gugliemo Marconi, huyo ndiye mwanasayansi aligundua kusafirisha taarifa pasipo wire, yani wireless technology , radio, television , wifi, bluetooth n.k huyo ndiye mgunduzi, alitoka Italy na alikuwa muitaliano akiwa anaonekana wa kawaida nchini kwao, alipokelewa US kama raisi, akawezeshwa na akafanya maajabu. 1909 akapewa tuzo ya Nobel.
Ni utaratibu wa marekani wa muda mrefu kupokea wageni, ndio maana leo hii Indians, Chinese, Africans na koo na kabila zote zipo pale, isingeleta maana kuwapokea wengine na kuwakataa Jews, Jews walipokeewa kama watu wengine ikizingatiwa walikuwa adui machoni pa Hitler.
Hakuna u special wowote US aliuona kwa Jews bali ni kuwasaidia na suala zima la kisiasa kama kuonyesha ukarimu wake na kuonyesha ukatili wa Hitler katika mauaji juu ya Jews.
Habari za kunambia myahudi alichangia US kuwa super power hizo ni story za kwenye kahawa wale wazee hata shule hawakwenda miaka nenda rudi wanaamini ujinga waliolishwa.
Utumwa wa watu weusi(black labor) ndio umeinyanyua marekani hapo ilipofikia kiuchumi, walitengeneza miundombinu na kufanya kazi katika mashamba ya pamba, tumbaku n.k...
Marekani inakuwa super power Hitler ana miaka 9, mwaka 1898 US ndio inakuwa giant na kuogopwa duniani, mwaka 1889 Hitler anazaliwa, Jews wanafanyiwa Holocaust na Hitler na kukimbia akiwemo Einsten tayari US ni giant na inaogopeka, sasa hao jews walikuja lini kuitengeneza US kuwa super power? wakati Hitler mwenyewe aliye watesa Jews anakua US ni super power.
Ndio maana wataalamu, wachambuzi wa vita miaka hio walitabiri kama mwisho wa Germany baada ya US kusema wanaingia vitani, kwa maana nguvu ya US ilifahamika tayari.
Mzee napngea kwa fact na historia imelala, mimi sio wa story za kwenye kahawa, nasoma vitabu. Watu weusi ndio wenye mchango mkubwa leo hii US kuwa pale ilipo kuliko hao Jews waliokudanganya.
na ndio maana wanasayansi wengi waliokua wanakimbia kutoka ulaya ya hitler us alikua anawakaribisha akijifanya mkarimu kwao kumbe mwenzao alikua anawinda teknolojia yao na ujuzi wao, mfano wa wasayansi nimekupa ni eisten na wengine wengi. mfano mwingine ni operation paperclip ambayo ndo imemfanya US awe mbabe wa makombora duniani na space technology
pili black america hawakuingia kama wageni yan hawakukaribishwa bali waliingia kama watumwa yani machine nguvu kazi.
kwa hiyo US alikua anapokea jews wengi sababu walikua wako smart kwenye vichwa vyao so alijua wakija lazima watachangia uchumi wake kukua na ndivo ilivokua, mfano muda huu tunaoongea kati ya matajiri 400 wa marekani around 139 ni wayahudi, alaf wako only 1%, mbona hatujaona hao weusi? mbona hatujaona hao wachina na indians waliokaribishwa kwa pamoja, why jews? sasa iweje useme watu hao hawakuhusika na kuchangia uchumi wa marekani?
hao matajiri 139 wa kiyahudi wamarekani mfano pesa yao tu wakisema wailete apa africa italisha bajeti ya serikali ngapi za kiafrica?
Alafu kilichomuinua muamerica adi sasa ni kwamba aliinvest kwenye sayansi na technologia mzee unapoongengelea amerca unaongelea technology ya dunia usituletee apa habari za mashamba ya tumbaku hapa hakuto kijijini sikonge