Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Sio aibu tu. Tunasikitisha.Aibu sana
Acha upuuzi wewe.JWTZ mambo yote yenye element ya security ndani yake ni SIRI KUU! Hautakuja kusikia wakisemasema. Hata wakiua magaidi 100 kamwe hawasemi kitu.
Tunasikitisha na kutia huruma.Nacheka huku naogopa 😂😂
Malizia kucheka kabisa.Subiri kwanza nicheke nitarudi kucomment asubuhi
JWTZ mambo yote yenye element ya security ndani yake ni SIRI KUU! Hautakuja kusikia wakisemasema. Hata wakiua magaidi 100 kamwe hawasemi kitu.
Siri kwenye hamna. Yani unalala njaa kibandani uko bonde la Msimbazi ukiwa umevaa nguo zimechanika. Ukiulizwa unadai utajiri wako ni wa "siri".JWTZ mambo yote yenye element ya security ndani yake ni SIRI KUU! Hautakuja kusikia wakisemasema. Hata wakiua magaidi 100 kamwe hawasemi kitu.
Bookmark this.Mimi nasemaga humu, ile JW ya zamani sio ya miaka ya sasa. Na inaweza ikawa bora sababu hatuna jirani mwenye mapafu ya maana. Ila hata kwa Uganda ya sasa yenye Sukhoi SU 30 sita na hii Kenya. Ikatokea tukaingia nao kwenye mapambano, tukinusurika basi watatuacha na makovu ambayo yatadumu zaidi ya miaka 300.
Tanzania ukiona neno Siri ujue watu wanaficha upuuzi na ujinga wao.Huu ndio uongo ambao tunapenda kuutumia kuficha ujinga wetu.
Sie Jeshi linashindana na kina Dewji kufanya shughuli za Uwekezaji ambazo zinaenda kuwanufaisha Majenerali wachache na Wanasiasa kuishi kama miungu watu.Kuna nchi kama Nigeria, Ethiopia n.k zinapiga hatua kubwa sana kijeshi. Sisi kwa bahati mbaya sana licha ya kuwa na bahari kubwa, maziwa kila eneo. Hatuna Cruise ship ya maana. Ndege tunazotumia ni aibu kusema.
Kama jeshi una Cruiser Navy Ships, utasema ni siri, kwamba hazitaonekana? Ukiwa una helicopter, Fighter jets utasemaje ni siri? Kwamba hazitaruka angani kuonekana? Acha ccm iendelee kukaa madarakani sababu Watanzania wengi akili hakuna.Siri kwenye hamna. Yani unalala njaa kibandani uko bonde la Msimbazi ukiwa umevaa nguo zimechanika. Ukiulizwa unadai utajiri wako ni wa "siri".
Stupid government under stupid government leadersMwaka huu Jeshi la Ethiopia lineanzisha kiwanda cha kutengeneza ndege vita zisizotumia rubani kwa shughuli za ulinzi wa ndani na biashara.
Picha hizi hapa👇
View attachment 3324765View attachment 3324766
Haya yakifanyika nchini Ethiopia huku Tanzania hapo jana Mkuu wa Majeshi kazindua mradi wa kuponda kokoto wa Jeshi. Picha hizi hapa👇
View attachment 3324767
Tukisema hii nchi tulirogwa na aliyeturoga alishakufa tueleweni jamani.
Walaaniwe CCM kwa ujinga waliotupa Watanzania!
Ukiwaangali walivyo serious kwenye mradi wa kuponda kokoto utajua kabisa nchi imeshajifia hii.Kuna nchi kama Nigeria, Ethiopia n.k zinapiga hatua kubwa sana kijeshi. Sisi kwa bahati mbaya sana licha ya kuwa na bahari kubwa, maziwa kila eneo. Hatuna Cruise ship ya maana. Ndege tunazotumia ni aibu kusema.