Jionee tofauti ya Miradi kati ya Jeshi la Ethiopia na Jeshi la Tanzania

Sasa Uganda wanazo 6. Halafu mtu anatokea anakwambia JW ipo serious, tunatania sisi.
Aahaaaa pole yetu. Sio mchezo wenzetu wapo serious na haya mambo. Ndiyo maana kijana wa Mzee akitishia majirani, inabidi wakae kimya.....mziko wake ni mzito.
 
Sisi bado tunapambana kuwaongezea mishahara ili kutetea chama tawala.
 
Kama wana akili hawatajali hiyo nyongeza ya mishahara na watafocus kulikomboa taifa dhidi ya udhalimu wa CCM.
 
Labda jeshi la magereza

Ova
_20250426_122055.JPG

​
Hili ni JESHI.! Usifananishe na vitu vya kijinga, you know 😂
 
Mwaka huu Jeshi la Ethiopia limeanzisha kiwanda cha kutengeneza ndege vita zisizotumia rubani kwa shughuli za ulinzi wa ndani na biashara.

Picha hizi hapa👇
View attachment 3324765View attachment 3324766

Haya yakifanyika nchini Ethiopia huku Tanzania hapo jana Mkuu wa Majeshi kazindua mradi wa kuponda kokoto wa Jeshi. Picha hizi hapa👇
View attachment 3324767

Tukisema hii nchi tulirogwa na aliyeturoga alishakufa tueleweni jamani.

Walaaniwe CCM kwa ujinga waliotupa Watanzania!
Duh!🤣🤣🤣🤣🤣
 
Acha upuuzi wewe.

Kuwa na kiwanda ni siri? Kwa hiyo mtatengeneza silaha kwa matumizi yenu tu? Hujui silaha ni biashara?
Akili za kuelewa hayo mambo makubwa makubwa atayajulia wapi?
Anachokijua yeye ni kumsikiliza Shabani Kisu akiwaagiza kupiga makofi,vigelele basi.
 
Ila JWTZ kweli limejifia.

Ndo mana lilishindwa kuikomboa Tanganyika na Tanzania pale Oktoba 29
 
Mwaka huu Jeshi la Ethiopia limeanzisha kiwanda cha kutengeneza ndege vita zisizotumia rubani kwa shughuli za ulinzi wa ndani na biashara.

Picha hizi hapa👇
View attachment 3324765View attachment 3324766

Haya yakifanyika nchini Ethiopia huku Tanzania hapo jana Mkuu wa Majeshi kazindua mradi wa kuponda kokoto wa Jeshi. Picha hizi hapa👇
View attachment 3324767

Tukisema hii nchi tulirogwa na aliyeturoga alishakufa tueleweni jamani.

Walaaniwe CCM kwa ujinga waliotupa Watanzania!
JWTZ ndiyo maana wanapigwa mitaani na Polisi kama watoto wadogo bure kabisa
 
Sasahivi wanajenga frame za manuka kwenye Kambi zao Nchi nzima
 
Mwaka huu Jeshi la Ethiopia limeanzisha kiwanda cha kutengeneza ndege vita zisizotumia rubani kwa shughuli za ulinzi wa ndani na biashara.

Picha hizi hapa👇
View attachment 3324765View attachment 3324766

Haya yakifanyika nchini Ethiopia huku Tanzania hapo jana Mkuu wa Majeshi kazindua mradi wa kuponda kokoto wa Jeshi. Picha hizi hapa👇
View attachment 3324767

Tukisema hii nchi tulirogwa na aliyeturoga alishakufa tueleweni jamani.

Walaaniwe CCM kwa ujinga waliotupa Watanzania!
Mradi mwingine wanaojua ni kwenda kuuza madafu pale ikulu ya Magogoni.
 
wanajeshi wetu unawafahamu lakini

wanachojua ni kukata kuni na kuua watu tu
 
Ndo mana Kagame anawashikisha adamu kwelikweli.

Limegeuka jeshi la kishenzi la machawa na wapumbavu ccm.
Kagame tulikuwa tunamuweza kwasababu pia wanajeshi wake wengi walitokea monduli pale ,nowadays tutapata tabu kwelikweli wanachuo chao
 
Mwaka huu Jeshi la Ethiopia limeanzisha kiwanda cha kutengeneza ndege vita zisizotumia rubani kwa shughuli za ulinzi wa ndani na biashara.

Picha hizi hapa👇
View attachment 3324765View attachment 3324766

Haya yakifanyika nchini Ethiopia huku Tanzania hapo jana Mkuu wa Majeshi kazindua mradi wa kuponda kokoto wa Jeshi. Picha hizi hapa👇
View attachment 3324767

Tukisema hii nchi tulirogwa na aliyeturoga alishakufa tueleweni jamani.

Walaaniwe CCM kwa ujinga waliotupa Watanzania!
Mpaka Majenerali ni chuya tupu.

Ndo maana yamekaa kimya baada ya silaha zao kutumika kuua raia
 
Back
Top Bottom