Jionee tofauti ya Miradi kati ya Jeshi la Ethiopia na Jeshi la Tanzania

Jionee tofauti ya Miradi kati ya Jeshi la Ethiopia na Jeshi la Tanzania

Fala ni yule anayepigwa tone tone; mi sipogwi huo ujinga. Mmehama kwenye siasa na mnaingilia mambo ya ulinzi Sasa mkiwa hamjui chochote kile; mafala kweli nyie!
Wewe unaetetea kuponda kokoto ndo unajua maswala ya ulinzi?

Kweli ujinga ni kipaji huko kwenu CCM.
 
Wewe unaetetea kuponda kokoto ndo unajua maswala ya ulinzi?

Kweli ujinga ni kipaji huko kwenu CCM.
Mimi sijatetea na Wala sijasema lolote. Nawauliza nyie wajuzi wa Kila kitu nchi hii kutoka chadema; mnajua mipango na mipaka yote ya kijeshi au mnaongea ongea tu Ili mradi mtimize ajenda yenu iliyoshindwa?!!!
 
Wapo wengi sana mle , wapo masters hata phds, kikwazo ni kimoja tu hizo nafasi hawapewi maana kuna culture ya kuogopa boss kufunikwa , na hii tabia ime spread hadi kwenye taasis zingine
Sasa kwa nini tusiwe na CDF msomi anayejutambua? Au ndo yale kuteua vilaza ili wakulambe miguu?
 
Sasa kwa nini tusiwe na CDF msomi anayejutambua? Au ndo yale kuteua vilaza ili wakulambe miguu?
In terms of masomo huwez fika level ya CDF kama huna masters and above.
Hakuna member wa COS hana masters.

Tatizo sio usomi, usomi na exposure
 
Mimi sijatetea na Wala sijasema lolote. Nawauliza nyie wajuzi wa Kila kitu nchi hii kutoka chadema; mnajua mipango na mipaka yote ya kijeshi au mnaongea ongea tu Ili mradi mtimize ajenda yenu iliyoshindwa?!!!
Tutimize ajenda gani tunayo? Umeisikia wapi?
 
In terms of masomo huwez fika level ya CDF kama huna masters and above.
Hakuna member wa COS hana masters.

Tatizo sio usomi, usomi na exposure
Jenerali Mkunda ana elimu gani? Alisoma wapi na wapi?
 
Mwaka huu Jeshi la Ethiopia limeanzisha kiwanda cha kutengeneza ndege vita zisizotumia rubani kwa shughuli za ulinzi wa ndani na biashara.

Picha hizi hapa👇
View attachment 3324765View attachment 3324766

Haya yakifanyika nchini Ethiopia huku Tanzania hapo jana Mkuu wa Majeshi kazindua mradi wa kuponda kokoto wa Jeshi. Picha hizi hapa👇
View attachment 3324767

Tukisema hii nchi tulirogwa na aliyeturoga alishakufa tueleweni jamani.

Walaaniwe CCM kwa ujinga waliotupa Watanzania!
Lord Denning,
Jeshi letu kwa sasa lingekuwa mbali zaidi ya hapo. Miaka ya 80 na 90 tayari walishaanza project kutengeneza trucks zao....Nyumbu. .Projects nyingine zingefuata. Mradi uliuawa na wachumia tumbo wa serikali yako ambao waliona wangekoseshwa fursa ya kupiga kwa kila tenda ya JWTZ. Kwa mfano trucks za Iveco zilizoagizwa na JWTZ toka italia kupitia dalali Sailesh Vithlani na mwenzie Tanil Somaiya zilikuwa na bei mara 2 ya bei halisi. Unajiuliza kwa nini JWTZ walazimishwe kununua kupitia dalali wakati soko na bei inajulikana?
Yote kwa yote,niliwahi kuandika humu ndani kwamba huwa hakuna siri ya jeshi kama vifaa vyako unanunua.
Siri inakuwa endapo unatengeneza mwenyewe
 
Fala ni yule anayepigwa tone tone; mi sipogwi huo ujinga. Mmehama kwenye siasa na mnaingilia mambo ya ulinzi Sasa mkiwa hamjui chochote kile; mafala kweli nyie!
Tulia ww chawa wa kijani tone tone tupo na tutazidi kuchangia
 
Washaingizwa kwenye mfumo na wajinga wa CCM. Hata maana ya viapo vyao hawajui
Hawajaingizwa walikuwapo ... Umeshasahau kuwa jeshi lilikuwa ni mkoa wa kitawala!?? .. hiyo mentality kuondoka inahitaji miaka zaidi ya 50 ... Jeshi kuwa mkoa wa kitawala ilifutwa tulipoingia vyama vingi 1992 ...Je wale wazee wapo hawapo!?? Na ndio wakufunzi ..wanawafundisha Nini new cadets!??....Bado sana
 
Tukiendaga maonyesho ya Saba Saba ama Nane nane huwa kuna bidhaa zilizotengenezwa na wanajeshi. Sijajua kwenye mambo ya techinolojia wana viwanda/kiwanda gani kwa sasaa
 
Bookmark this.

Akitokea jirani siku akiamua kutuvamia. Kwa Jeshi tulilonalo na Wananchi tulionao, saa mbili asubuhi Tanzania itakuwa chini ya utawala wa adui.

CCM wameshatuulia hili taifa.
Mpaka tunakoromewa na ka Malawi. Kamejihamishia mpaka wote wa Ziwa Nyasa. Wakati tuna jeshi la sita kwa ubora duniani. Kweli? 😳😳😳
 
Mimi sijatetea na Wala sijasema lolote. Nawauliza nyie wajuzi wa Kila kitu nchi hii kutoka chadema; mnajua mipango na mipaka yote ya kijeshi au mnaongea ongea tu Ili mradi mtimize ajenda yenu iliyoshindwa?!!!
Mkuu kwahiyo Kila anaeleta hoja msiyoipenda ni CHADEMA?? kazi ipo
 
Back
Top Bottom