slip way
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 688
- 701
Kwahiyo ukunguni wako unatulizwa na wasiraHuwezi kunituliza we kunguni wa lissu
Kwahiyo ukunguni wako unatulizwa na wasiraHuwezi kunituliza we kunguni wa lissu
Inasikitisha sana badala ya JKT kujikita ktk uzalishaji wa kutumia technolojia ya kisasa, wanaendesha kumbi za starehe na kufagia barabara kwa kutumia ufagio wa makuti ya mnazi. Kwa taasisi inayotumia kodi za wananchi ingejikita ktk kukopi technologia toka kwa wenzetu na kui-customize kwa matumizi ya kwetu.Sie Jeshi linashindana na kina Dewji kufanya shughuli za Uwekezaji ambazo zinaenda kuwanufaisha Majenerali wachache na Wanasiasa kuishi kama miungu watu.
Nimecheka.Kama amiri jeshi mkuu kichwani ni mwepesi….
Kama mkuu wa majeshi anasoma hotuba kwa kiwango cha mtoto wa shule ya msingi….
Unategemea hilo jeshi liwe na akili?
Hilo jeshi limeshindwa kuwathibiti wanamgambo wa TPLF kwa miezi kadhaa. Pia Eritrea inajiandaa kuwavamia na wana wasiasi mno. Sasa jeshi lipo wapi hapo?Mwaka huu Jeshi la Ethiopia limeanzisha kiwanda cha kutengeneza ndege vita zisizotumia rubani kwa shughuli za ulinzi wa ndani na biashara.
Picha hizi hapa👇
View attachment 3324765View attachment 3324766
Haya yakifanyika nchini Ethiopia huku Tanzania hapo jana Mkuu wa Majeshi kazindua mradi wa kuponda kokoto wa Jeshi. Picha hizi hapa👇
View attachment 3324767
Tukisema hii nchi tulirogwa na aliyeturoga alishakufa tueleweni jamani.
Walaaniwe CCM kwa ujinga waliotupa Watanzania!
😄😄😄Jamaa wewe😀😀
Viongozi wa CCM walaaniwe maana ndio wametufikisha hapa.Mwaka huu Jeshi la Ethiopia limeanzisha kiwanda cha kutengeneza ndege vita zisizotumia rubani kwa shughuli za ulinzi wa ndani na biashara.
Picha hizi hapa👇
View attachment 3324765View attachment 3324766
Haya yakifanyika nchini Ethiopia huku Tanzania hapo jana Mkuu wa Majeshi kazindua mradi wa kuponda kokoto wa Jeshi. Picha hizi hapa👇
View attachment 3324767
Tukisema hii nchi tulirogwa na aliyeturoga alishakufa tueleweni jamani.
Walaaniwe CCM kwa ujinga waliotupa Watanzania!
Kwahiyo aongelee nini?Ukimuona mtu anaongelea uzalendo hapa Tanzania na kushupaza shingo ujue huyo ni mjinga au mpumbavu.
Ishi nalo hili.
Mkuu wa majeshi anasoma hotuba kama risala ya kitado ya piliKama amiri jeshi mkuu kichwani ni mwepesi….
Kama mkuu wa majeshi anasoma hotuba kwa kiwango cha mtoto wa shule ya msingi….
Unategemea hilo jeshi liwe na akili?
Kwa hiyo Inawezekana hata wana stealth jet ni sisi tu hatujaui?!😁JWTZ mambo yote yenye element ya security ndani yake ni SIRI KUU! Hautakuja kusikia wakisemasema. Hata wakiua magaidi 100 kamwe hawasemi kitu.
Tanzania ujinga umetawala sekta zote. Hakuna vya siri wala nini tunazidiana ujinga tuJWTZ mambo yote yenye element ya security ndani yake ni SIRI KUU! Hautakuja kusikia wakisemasema. Hata wakiua magaidi 100 kamwe hawasemi kitu.
Nnchi ya ******* hii ni noma sanaWamejenga kiwanda Cha kokoto ili wara hisishe ujenzi wao wa frem za kupangisha mama ntilie. Maana ndiyo biashara wanayoiweza
Zana zinaendana na matishio ya kiusalama tuliyonayo.Kwa hiyo Inawezekana hata wana stealth jet ni sisi tu hatujaui?!😁
Anaonekana tapeli kishenzi.komaa nae huyu, anaweza fanya hata delivery ya hivyo viwanja vyako,...🤣🤣
Hatujui hata hili ni jeshi la wananchi gani...?Kweli kabisa. Tundu Lissu anatuambia kila siku Reforms yenyewe imekaa tu kwenye Kambi zao.
Tundu Lissu kakamatwa na wajinga wamemweka generani yenyewe imekaa tu kama mijinga kwenye kambi zao.
Hawajui Reforms hizi zitawafanya hata wao kuwa bora na kuwafanya wawe w kisasa zaidi.
Hawajui Reforms zinafaidisha Taifa ambalo wanaapa kulilinda.
huyu hata chumvi ya mawe anaweza uza kama sukari,...Anaonekana tapeli kishenzi.
Sukhoi moja(one piece), tu bei yake dollari milioni 75+. Sio Mchezo, ni kifaa hatari sana. Africa nzima kifaa hiki kipo Misri, Ethopia na Uganda tu.Mimi nasemaga humu, ile JW ya zamani sio ya miaka ya sasa. Na inaweza ikawa bora sababu hatuna jirani mwenye mapafu ya maana. Ila hata kwa Uganda ya sasa yenye Sukhoi SU 30 sita na hii Kenya. Ikatokea tukaingia nao kwenye mapambano, tukinusurika basi watatuacha na makovu ambayo yatadumu zaidi ya miaka 300.
Sasa Uganda wanazo 6. Halafu mtu anatokea anakwambia JW ipo serious, tunatania sisi.Sukhoi moja(one piece), tu bei yake dollari milioni 75+. Sio Mchezo, ni kifaa hatari sana. Africa nzima kifaa hiki kipo Misri, Ethopia na Uganda tu.