Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
- #41
Ukimuona mtu anaongelea uzalendo hapa Tanzania na kushupaza shingo ujue huyo ni mjinga au mpumbavu.Hao ni wapumbavu tu wanatetea ujinga, wazalendo uchwara.
Hata kama ingekuwa siri, ndio jeshi likafyatue kokoto. Kazi ambayo wamama wajane waliotelekezwa hawana msaada wanafanya miaka nenda rudi.
Kwa kuingia biashara za kivivu zisizotumia akili hawajambo, mara kujenga fremu za maduka. Tunataka siku tuone Navy imeunda kivuko au meli ya uvuvi, au Army imeunda lori la mchanga, au Airforce imeunda drone ya kumwagilia dawa shambani. Sio miradi uchwara ambayo mjinga asiyejua kusoma wala kuandika anaweza fanya.
Ishi nalo hili.