Acha hizo wapi hiyo?😂kuna siku nilikuta wanachapwa viboko tena hadharani, ilikuwa kwenye ujenzi wa shule...mchana kweupeee wanakula sticks kama ng'ombe,..😳😳🤔🤔😔🥲🥲
Wanauza hizo kakoto kwa manufaa yao binafsi labdaKupasua kokoto , kufyatua tofali hizo kazi kwa jeshi ni kujitia aibu
Kwa hiyo wewe unajali bei ya mashine na sio aina ya mradi/shughuli?Unajua Bei za hizo mashine lakini au unaropoka tu!
Inasikitisha sana.Ukipita lugalo utona Frem za Boutique za nguo ... mabaaa, na kila takataka ya Frem....bado sijui mwendokasi wamejimegea eneo..ni aibu tupu
Yes ni failed state.Kwani sisi sio failed state?
Ilikuwa mbeya,.. airport ya zamani pana shule paleAcha hizo wapi hiyo?😂
Hadi dawa za binadamu wanatengeneza.Suma hawa wanaotebgeneza Maji na Taa za Solar?
Kuwa serious basi.
Hilo bandiko lako linaonyesha wewe ni mjinga kuliko mimiWewe ni mjinga kama mabosheni mliojazwa huko na CCM ili mtumike kwa faida ya CCM.
suala la kupigana au jeshi litapigana vipi achana naloBadala muonyeshe hata mtoto wa drone mnatuonyesha matofali na kokoto mnadhani mtapigana kwa manati tunawasanua na tunahofia usalama wetu
Nyerere aliwaachia Nyumbu Project, kuna Ngerengerere projectKama amiri jeshi mkuu kichwani ni mwepesi….
Kama mkuu wa majeshi anasoma hotuba kwa kiwango cha mtoto wa shule ya msingi….
Unategemea hilo jeshi liwe na akili?
Nna viwanja haviuziki kamanda.JWTZ mambo yote yenye element ya security ndani yake ni SIRI KUU! Hautakuja kusikia wakisemasema. Hata wakiua magaidi 100 kamwe hawasemi kitu.
Huku ni kuvunja matofali kwenda mbeleMwaka huu Jeshi la Ethiopia limeanzisha kiwanda cha kutengeneza ndege vita zisizotumia rubani kwa shughuli za ulinzi wa ndani na biashara.
Picha hizi hapa👇
View attachment 3324765View attachment 3324766
Haya yakifanyika nchini Ethiopia huku Tanzania hapo jana Mkuu wa Majeshi kazindua mradi wa kuponda kokoto wa Jeshi. Picha hizi hapa👇
View attachment 3324767
Tukisema hii nchi tulirogwa na aliyeturoga alishakufa tueleweni jamani.
Walaaniwe CCM kwa ujinga waliotupa Watanzania!
Mkuu mbona umechafukwa sana??🤣🤣🤣Kama jeshi una Cruiser Navy Ships, utasema ni siri, kwamba hazitaonekana? Ukiwa una helicopter, Fighter jets utasemaje ni siri? Kwamba hazitaruka angani kuonekana? Acha ccm iendelee kukaa madarakani sababu Watanzania wengi akili hakuna.
Hawa wanaosema siri siri mimi nawaonaga vichaa tu.
Duuh!Mwaka huu Jeshi la Ethiopia limeanzisha kiwanda cha kutengeneza ndege vita zisizotumia rubani kwa shughuli za ulinzi wa ndani na biashara.
Picha hizi hapa👇
View attachment 3324765View attachment 3324766
Haya yakifanyika nchini Ethiopia huku Tanzania hapo jana Mkuu wa Majeshi kazindua mradi wa kuponda kokoto wa Jeshi. Picha hizi hapa👇
View attachment 3324767
Tukisema hii nchi tulirogwa na aliyeturoga alishakufa tueleweni jamani.
Walaaniwe CCM kwa ujinga waliotupa Watanzania!
Ila kuponda kokoto sio Siri!JWTZ mambo yote yenye element ya security ndani yake ni SIRI KUU! Hautakuja kusikia wakisemasema. Hata wakiua magaidi 100 kamwe hawasemi kitu.
Fala ni yule anayepigwa tone tone; mi sipogwi huo ujinga. Mmehama kwenye siasa na mnaingilia mambo ya ulinzi Sasa mkiwa hamjui chochote kile; mafala kweli nyie!We mwenyew fala tu huna lolote Zaid ya kuw chawa tu huko mbogani
Inasikitisha sana.Hawa ni wale waluoko kwenye payroll ya kutukana mawazo makubwa mitandaoni...ni kusifia tuu kila kitu....Jeshi letu linatakiwa Liwe la kisasa tena nguvu kubwa iwekwe kwenye uvumbuzi wa kitecnologia......wameshindwa hata kuwa colect ma IT wote walioko mitaani wawape kazi na kuwatumia katika ubunifu..kazi wanapewa machawa wenye matumba makubwa km jaba...dizaini ya Mwijaku