Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
- #181
Ndugu usiwe mjinga kawa hawa jamaa.Jeshi letu linafanya vitu kimya kimya sio lazima litangaze.
Ndugu usiwe mjinga kawa hawa jamaa.Jeshi letu linafanya vitu kimya kimya sio lazima litangaze.
Suma hawa wanaotebgeneza Maji na Taa za Solar?Mbona hata sie ipo ya SumaJKT
Mtoa mada ana hoja asikilizwe. Kuua magaidi ni wajibu wao. Lakini kukosa ugunduzi na uundaji wa zana za kijeshi ni aibu yao pia.JWTZ mambo yote yenye element ya security ndani yake ni SIRI KUU! Hautakuja kusikia wakisemasema. Hata wakiua magaidi 100 kamwe hawasemi kitu.
Alikuja anataka kuficha ujinga na upuuzi wao kwenye kichaka cha Siri.Mtoa mada ana hoja asikilizwe. Kuua magaidi ni wajibu wao. Lakini kukosa ugunduzi na uundaji wa zana za kijeshi ni aibu yao pia.
Mashoga siku hizi mnatukana sana.Wacha upumbavu takataka wewe ...Kinachoebdelea kwenye makambi ya Jeshi ni aibu kwa nchi
Kinachonisitua ni pale mtu anapotokea anauwezo wa kutengeneza silaha na kuna kipindi Bwana mmoja Geita na kipindi cha nyuma Bwana mmoja wa Iringa walikamatwa kwa kuwa na uwezo wa kutengeneza silaha na wakashitakiwa na kuchukuliwa hatua kali!Mwaka huu Jeshi la Ethiopia limeanzisha kiwanda cha kutengeneza ndege vita zisizotumia rubani kwa shughuli za ulinzi wa ndani na biashara.
Picha hizi hapa👇
View attachment 3324765View attachment 3324766
Haya yakifanyika nchini Ethiopia huku Tanzania hapo jana Mkuu wa Majeshi kazindua mradi wa kuponda kokoto wa Jeshi. Picha hizi hapa👇
View attachment 3324767
Tukisema hii nchi tulirogwa na aliyeturoga alishakufa tueleweni jamani.
Walaaniwe CCM kwa ujinga waliotupa Watanzania!
Pesa zote wanakula Majenerali waliopo kazini na Wastaafu wakishirikiana na Viongozi wa CCM.Na mbaya zaidi vijana wa kitanzania,wanao jiunga JKT kwa jina la "wazalendo" ndo watakuwa manamba kwenye huo mradi,maana kambi za JKT siku hizi ni vituo vya manamba kwa jina la wazalendo.
Hii nchi ilishajifiaga kwa kweli. Nadhani tuliyokuwa tunashuhudia yalikuwa ni stages za kuelekea kujifia.Kinachonisitua ni pale mtu anapotokea anauwezo wa kutengeneza silaha na kuna kipindi Bwana mmoja Geita na kipindi cha nyuma Bwana mmoja wa Iringa walikamatwa kwa kuwa na uwezo wa kutengeneza silaha na wakashitakiwa na kuchukuliwa hatua kali!
Badala ya kuwachukua jeshini na kuwatenegenezea Workshop au kiwanda ili waunde Silaha kwa ubira zaidi!
Nchi hii ubunifu ni uharifu wa hali ya juu!
Kwa dunia ya leo hakuna siri unapofikri kuwa ni siri kumbe wenzako wameshakumaliza zamani mpaka rangi ya chupi uliovaa wanaijua.JWTZ mambo yote yenye element ya security ndani yake ni SIRI KUU! Hautakuja kusikia wakisemasema. Hata wakiua magaidi 100 kamwe hawasemi kitu.
Na walivyo walevi na kupenda wanawake? Wanadhani dunia ya leo ni ile ya miaka ya 1970 bado.Kwa dunia ya leo hakuna siri unapofikri kuwa ni siri kumbe wenzako wameshakumaliza zamani mpaka rangi ya chupi uliovaa wanaijua.
Siku si nyingi utawaona watakavyojazana pale bungeni kwenye bajeti yao kwa masifa ili wapigiwe makofi na wajinga wenzao wa CCM.Hapo tofauti ni shule tu mkuu, huku form 4 failures wengi hawawezi kubuni vitu vyenye akili!
Kukaa kimya nayo ni njia ya kuficha upuuzi wako. Kuna muda bora usiongee ili watu wasijue kama wewe ni mpumbavu.Nyie endeleeni kujadili JW lakini mjue mnataka kugusa pabaya, Miradi yote ya jeshi ni sawa na kujadili kifaru cha jeshi!
Hata kuandika humu ni njia ya kuwaamsha na kuwaambia Dunia haipo kama wanavyofikiria hivyo wajikite kwenye shughuli zinazowahusu kutokana na changamoto za kiulinzi na kiusalama duniani.Wewe mtoa mada unafanya nini kusaidia hili taifa?au upo kulaumu wengine tu