Jionee tofauti ya Miradi kati ya Jeshi la Ethiopia na Jeshi la Tanzania

Jionee tofauti ya Miradi kati ya Jeshi la Ethiopia na Jeshi la Tanzania

Hata kuandika humu ni njia ya kuwaamsha na kuwaambia Dunia haipo kama wanavyofikiria hivyo wajikite kwenye shughuli zinazowahusu kutokana na changamoto za kiulinzi na kiusalama duniani.

Kuandika humu ni njia ya kuwakumbusha kuwa waaache kupelekeshwa na wajinga wachache wa CCM na wajifunze kutumia akili ili Taifa letu lipate ukombozi wa kweli.
Una uhakika ujumbe unawafikia walengwa?
 
Kukaa kimya nayo ni njia ya kuficha upuuzi wako. Kuna muda bora usiongee ili watu wasijue kama wewe ni mpumbavu.

Nani aliyekwambia kujadili miradi ya Jeshi ni dhambi au kosa? Fichaa upuuzi wako basi ndugu.
Mbona mwamba unatukana sana? Hizo zote ni dalili za stress utakuwa umepigwa na maisha aisee siyo bure! Wewe hukumbuki Magu alikabidhi ile boti kwa JW na akasema kujadili ni sawa na kujadili kifaru cha jeshi! Hebu toka kwenye keyboards uje hadharani na huo urojo wako kama hawajakudaka!
 
JWTZ mambo yote yenye element ya security ndani yake ni SIRI KUU! Hautakuja kusikia wakisemasema. Hata wakiua magaidi 100 kamwe hawasemi kitu.
Acha mikwara ,jeshi la Tz limeshikwa na wanasiasa halina nguvu ...Hiyo miradi wangesema sio aibu ya miradu ya kokoto.
 
Mbona mwamba unatukana sana? Hizo zote ni dalili za stress utakuwa umepigwa na maisha aisee siyo bure! Wewe hukumbuki Magu alikabidhi ile boti kwa JW na akasema kujadili ni sawa na kujadili kifaru cha jeshi! Hebu toka kwenye keyboards uje hadharani na huo urojo wako kama hawajakudaka!
Wewe huna akili? Kwa hiyo wewe neno linalotoka kinywani mwa Rais kwako ndo torati au Sheria?

Tena sijakutukana! Ningekuuliza umeishia darasa la ngapi hapo ndo nimekuwa nimekutukana hasa?

Kwa maneno yako basi nakuuliza umeishia darasa la ngapi?
 
Vitu vya humu ukichukulia serious ki vile utakuwa mwehu!
 
Kwa sasa (Mei 2025), Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Tanzania (CDF) ni Jenerali Jacob John Mkunda. Aliteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan tarehe 29 Juni 2022, akichukua nafasi ya Jenerali Venance Mabeyo aliyestaafu baada ya kufikia umri wa kustaafu kwa mujibu wa sheria [1] .

Wasifu wa Jenerali Jacob John Mkunda

- Elimu ya Awali: Alisoma katika Shule ya Sekondari ya Ruvu, ambapo alishiriki katika timu ya mpira wa miguu na shughuli za uongozi wa wanafunzi [2] .

- Kazi ya Kijeshi: Kabla ya kuteuliwa kuwa CDF, Jenerali Mkunda alikuwa Mkuu wa Operesheni na Mafunzo katika Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Mnamo Februari 2020, akiwa na cheo cha Brigedia, aliongoza Kikosi cha 202 cha Magharibi katika mkoa wa Katavi katika operesheni ya kudhibiti shughuli za waasi katika makazi ya wakimbizi, ambapo silaha kadhaa zilinaswa na watu kadhaa kukamatwa [2] .

- Uongozi wa JWTZ: Tangu kuchukua nafasi ya uongozi, Jenerali Mkunda amesisitiza umuhimu wa uwekezaji mkubwa wa serikali katika kuimarisha uwezo wa JWTZ, ikiwa ni pamoja na ununuzi wa vifaa vya kisasa na kuboresha mafunzo ya kijeshi [3] .

Mmeona CV yake msimlaumu buree.
Tunataka tuone CV kuhusu shule
 
Hizo biashara za kokoto kwa nini wasiwaachie private sector??Wana-capital hao waende kwenye projects ambazo civilians and private sector.Mfano - tunaenjoy technologia za GPS etc sababu zilianzishwa na jeshi la US kwa matumizi yao, baadae wakacommercialize, civilians tukaanza kudunda....Wafanye vitu vya future sio.kokoto, matofali sijui kilimo etc..waende kwenye AI huku.
Etc
 
Tunataka tuone CV kuhusu shule
Huyu atakuwa na elimu ya hapa na pale.

Maana Samia anaongoza kwa kututeulia watu kwenye vyeo vikubwa wakati elimu zao zina mashaka au hazitoshi.

Nadhani haya ndo yale yale ya Gavana wa BOT bwana Tutuba.
 
Hizo biashara za kokoto kwa nini wasiwaachie private sector??Wana-capital hao waende kwenye projects ambazo civilians and private sector.Mfano - tunaenjoy technologia za GPS etc sababu zilianzishwa na jeshi la US kwa matumizi yao, baadae wakacommercialize, civilians tukaanza kudunda....Wafanye vitu vya future sio.kokoto, matofali sijui kilimo etc..waende kwenye AI huku.
Etc
Bora project za kilimo wanaweza justify kuwa wanaweka hifadhi ya Chakula in case nchi imeingia kwenye War crisis au any major crisis.

Hizi project za kuponda kokota ni project za aibu kufanywa na Jeshi. Ni ujinga uliotukuka na Wanapaswa kuona aibu na wajikite kwenye Defence Industries.
 
Au unakuta mradi sijui wa kufuga samaki katikati ya maji huko ziwa Victoria unasema WTF$#%&*#@.

Yaani sisi tunaenda anticlockwise na Dunia.

Kuna miradi ilibidi Serikali iwawezeshe vijiji ndio wafanye. Miradi ya kuponda kokoto au kupiga tofali inaweza fanywa na wenyeviti WA Kijiji kwa maendeleo ya Kijiji.
 
Kwa akili yako unaamini hao Ethiopia wanaunda kila kitu kuhusu hizo drones?
Hapo ni ku assemble tu, wana ubia na nchi nyingine zinazo supply vifaa.

Afrika bila ngozi nyeupe hakuna jipya.
Ndio mwanzo huo.
Sasa hapo unaiba Technology ya hao weupe.

North Korea na Iran wanapata shida maana hadi watungue ndege au drone ndio wanaibomoa ndio wanacopy au wanazinunua toka vikundi vya kigaidi kama Hezbollah au Hamas au Houthi au Alqaeda ambao wanazidungua.

Sasa wewe ukiletewa ufanye assembling unashindwa kuiba Technology???🤣🤣
 
Mwaka huu Jeshi la Ethiopia limeanzisha kiwanda cha kutengeneza ndege vita zisizotumia rubani kwa shughuli za ulinzi wa ndani na biashara.

Picha hizi hapa👇
View attachment 3324765View attachment 3324766

Haya yakifanyika nchini Ethiopia huku Tanzania hapo jana Mkuu wa Majeshi kazindua mradi wa kuponda kokoto wa Jeshi. Picha hizi hapa👇
View attachment 3324767

Tukisema hii nchi tulirogwa na aliyeturoga alishakufa tueleweni jamani.

Walaaniwe CCM kwa ujinga waliotupa Watanzania!
Sisi tuna miradi ya kuhakikisha nchi inajitosheleza kwa chakula wakati Ethiopia na Jeshi lao wanategemea chakula kutoka nje.
Sisi huwezi kusikia watu wetu wanakimbilia Ethiopia wakati wahabeshi wanakuja kwetu kwa mamia kama wahamiaji haramu.
WaEthiopia wanatamani kuhamia TZ wakati hakuna mTZ anatamani kwenda Ethiopia ukiwemo wewe mtoa mada.
Pamoja na kashfa zote kwa nchi yako na kusifu nchi zingine lkn moyoni mwako huoni nchi tamu kama TZ that's why huwezi kuhama utaishia kukandia tu nchi yako inayokulea.
 
Back
Top Bottom