Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
😆😆😆😆😆 Mradi ambao unafanywa kwa ufanisi mno na wakina mama huko kunduchiMwaka huu Jeshi la Ethiopia lineanzisha kiwanda cha kutengeneza ndege vita zisizotumia rubani kwa shughuli za ulinzi wa ndani na biashara.
Picha hizi hapa👇
View attachment 3324765View attachment 3324766
Haya yakifanyika nchini Ethiopia huku Tanzania hapo jana Mkuu wa Majeshi kazindua mradi wa kuponda kokoto wa Jeshi. Picha hizi hapa👇
View attachment 3324767
Tukisema hii nchi tulirogwa na aliyeturoga alishakufa tueleweni jamani.
Walaaniwe CCM kwa ujinga waliotupa Watanzania!
Ukipita pale Kigamboni ukiziona hizo meli zao utasema kweli hii nchi hatujawahi kuwa serious kwenye mambo ya msingi.Kama jeshi una Cruiser Navy Ships, utasema ni siri, kwamba hazitaonekana? Ukiwa una helicopter, Fighter jets utasemaje ni siri? Kwamba hazitaruka angani kuonekana? Acha ccm iendelee kukaa madarakani sababu Watanzania wengi akili hakuna.
Hawa wanaosema siri siri mimi nawaonaga vichaa tu.
Alafu cha kuchekesha hela za hapo wanakula majenerali na wajinga wa juu pale CCM.😆😆😆😆😆 Mradi ambao unafanywa kwa ufanisi mno na wakina mama huko kunduchi
Kama mnaakili mtafuteni mwekezaji na nyie afanye uwekezaji wa namna hiyo mshirikiane Wapuuzi nyie.Kwa akili yako unaamini hao Ethiopia wanaunda kila kitu kuhusu hizo drones?
Hapo ni ku assemble tu, wana ubia na nchi nyingine zinazo supply vifaa.
Afrika bila ngozi nyeupe hakuna jipya.
DuhSiri kwenye hamna. Yani unalala njaa kibandani uko bonde la Msimbazi ukiwa umevaa nguo zimechanika. Ukiulizwa unadai utajiri wako ni wa "siri".
Bado Watanzania wana imani kwa Jeshi lao na upendo kwa nchi yao. Imani hii na upendo ni zao la ujinga lililopo ktk fikra na mioyo ya Watanzania. On ground tukishachapika ndo akili itaamka.Bookmark this.
Akitokea jirani siku akiamua kutuvamia. Kwa Jeshi tulilonalo na Wananchi tulionao, saa mbili asubuhi Tanzania italuwa chini ya utawala wa adui.
CCM wameshatuulia hili taifa.
Hahahaa😂Kama mnaakili mtafuteni mwekezaji na nyie afanye uwekezaji wa namna hiyo mshirikiane Wapuuzi nyie.
Upuuzi mtupuJWTZ mambo yote yenye element ya security ndani yake ni SIRI KUU! Hautakuja kusikia wakisemasema. Hata wakiua magaidi 100 kamwe hawasemi kitu.
Tunasikitisha sana ndugu yangu.Kama amiri jeshi mkuu kichwani ni mwepesi….
Kama mkuu wa majeshi anasoma hotuba kwa kiwango cha mtoto wa shule ya msingi….
Unategemea hilo jeshi liwe na akili?
Nakwambiaje siku atokee jirani aamue kututeka. Ndani ya wiki tu tutakuwa koloni na nchi jirani.Bado Watanzania wana imani kwa Jeshi lao na upendo kwa nchi yao. Imani hii na upendo ni zao la ujinga lililopo ktk fikra na mioyo ya Watanzania. On ground tukishachapika ndo akili itaamka.
Hao ni wapumbavu tu wanatetea ujinga, wazalendo uchwara.Kama jeshi una Cruiser Navy Ships, utasema ni siri, kwamba hazitaonekana? Ukiwa una helicopter, Fighter jets utasemaje ni siri? Kwamba hazitaruka angani kuonekana? Acha ccm iendelee kukaa madarakani sababu Watanzania wengi akili hakuna.
Hawa wanaosema siri siri mimi nawaonaga vichaa tu.
Tanzania ni rafiki mkubwa sana wa kijeshi wa China na Russia toka miaka hiyooo. China na Russia wako mbali mno kijeshi. Tuambie tumenufaika nao nini? Unajua idadi ya meli walizonazo Nigeria? Unajua kwamba wao hata meli za Jeshi wanateneneza wenyewe?Kwa akili yako unaamini hao Ethiopia wanaunda kila kitu kuhusu hizo drones?
Hapo ni ku assemble tu, wana ubia na nchi nyingine zinazo supply vifaa.
Afrika bila ngozi nyeupe hakuna jipya.