Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
-
- #41
Ukimuona mtu anaongelea uzalendo hapa Tanzania na kushupaza shingo ujue huyo ni mjinga au mpumbavu.Hao ni wapumbavu tu wanatetea ujinga, wazalendo uchwara.
Hata kama ingekuwa siri, ndio jeshi likafyatue kokoto. Kazi ambayo wamama wajane waliotelekezwa hawana msaada wanafanya miaka nenda rudi.
Kwa kuingia biashara za kivivu zisizotumia akili hawajambo, mara kujenga fremu za maduka. Tunataka siku tuone Navy imeunda kivuko au meli ya uvuvi, au Army imeunda lori la mchanga, au Airforce imeunda drone ya kumwagilia dawa shambani. Sio miradi uchwara ambayo mjinga asiyejua kusoma wala kuandika anaweza fanya.
Ukisikiliza hotuba zake saivi lazima ataje Rais Samia.Huyu mkuu wa majeshi inchi inabakwa yeye anatoa macho tu, unategemea anaweza kuwaza mbali huyu
Mimi sijawahi ona mkuu wa majeshi chawa anahudhuria mpaka mikutano ya CCM ndo huyu wa kwanza
Tunapotaka reforms tunamaanisha ombwe linaanzia juu pale tuna watu wenye akili zakutosha na ujuzi wakutosha ila kama unaagiza jeshi lijiandae kwa uchaguzi unategemea niniMwaka huu Jeshi la Ethiopia limeanzisha kiwanda cha kutengeneza ndege vita zisizotumia rubani kwa shughuli za ulinzi wa ndani na biashara.
Picha hizi hapa👇
View attachment 3324765View attachment 3324766
Haya yakifanyika nchini Ethiopia huku Tanzania hapo jana Mkuu wa Majeshi kazindua mradi wa kuponda kokoto wa Jeshi. Picha hizi hapa👇
View attachment 3324767
Tukisema hii nchi tulirogwa na aliyeturoga alishakufa tueleweni jamani.
Walaaniwe CCM kwa ujinga waliotupa Watanzania!
Kigamboni pale kwenye kambi yao wamejenga maframe sijui 20 yale.Hao ni wapumbavu tu wanatetea ujinga, wazalendo uchwara.
Hata kama ingekuwa siri, ndio jeshi likafyatue kokoto. Kazi ambayo wamama wajane waliotelekezwa hawana msaada wanafanya miaka nenda rudi.
Kwa kuingia biashara za kivivu zisizotumia akili hawajambo, mara kujenga fremu za maduka. Tunataka siku tuone Navy imeunda kivuko au meli ya uvuvi, au Army imeunda lori la mchanga, au Airforce imeunda drone ya kumwagilia dawa shambani. Sio miradi uchwara ambayo mjinga asiyejua kusoma wala kuandika anaweza fanya.
Ndo maana wanakufa kwa ajali kila siku hawa wajingaUkisikiliza hotuba zake saivi lazima ataje Rais Samia.
Hata kwenye mambo yasiohusika kabisa.
Sikuwahi kumsikia General Waitara au Mboma kila muda wakimtaja Mkapa au General Mwamunyange kila muda akimtaja Kikwete.
Hii nchi sijui tulimkoseaga Mungu wapi kwa kweli??
Wanashindana na misikiti kujenga frameKigamboni pale kwenye kambi yao wamejenga maframe sijui 20 yale.
Hata wakiuawa na M23 hawasemi.JWTZ mambo yote yenye element ya security ndani yake ni SIRI KUU! Hautakuja kusikia wakisemasema. Hata wakiua magaidi 100 kamwe hawasemi kitu.
Kwa namna CCM wanavyobaka Katiba leo hii wasingepaswa kuwa madarakani kama tungekuwa na Jeshi linalojitambua maana haiwezekani Jeshi lililoapa kuilinda Katiba likawaacha watu waibake namna hii!!Tunapotaka reforms tunamaanisha ombwe linaanzia juu pale tuna watu wenye akili zakutosha na ujuzi wakutosha ila kama unaagiza jeshi lijiandae kwa uchaguzi unategemea nini
Ni huzuni kwa kweli 😁😁Mwaka huu Jeshi la Ethiopia limeanzisha kiwanda cha kutengeneza ndege vita zisizotumia rubani kwa shughuli za ulinzi wa ndani na biashara.
Picha hizi hapa👇
View attachment 3324765View attachment 3324766
Haya yakifanyika nchini Ethiopia huku Tanzania hapo jana Mkuu wa Majeshi kazindua mradi wa kuponda kokoto wa Jeshi. Picha hizi hapa👇
View attachment 3324767
Tukisema hii nchi tulirogwa na aliyeturoga alishakufa tueleweni jamani.
Walaaniwe CCM kwa ujinga waliotupa Watanzania!
Weupe sana kichwaniUkiijua akili ya mwanajeshi mmoja mmoja utajua kwann tuko apo
Ha ha haHuyu mkuu wa majeshi inchi inabakwa yeye anatoa macho tu, unategemea anaweza kuwaza mbali huyu
Mimi sijawahi ona mkuu wa majeshi chawa anahudhuria mpaka mikutano ya CCM ndo huyu wa kwanza
😂😂😂Kama amiri jeshi mkuu kichwani ni mwepesi….
Kama mkuu wa majeshi anasoma hotuba kwa kiwango cha mtoto wa shule ya msingi….
Unategemea hilo jeshi liwe na akili?
Hata kama wanafanya assembly, ni ya vitu vya maana kwa ulinzi, huwezi kufananisha na hawa wanàofanya mambo ya aibu kama kokoto, baa, fumigation, kupangisha fremu, nkKwa akili yako unaamini hao Ethiopia wanaunda kila kitu kuhusu hizo drones?
Hapo ni ku assemble tu, wana ubia na nchi nyingine zinazo supply vifaa.
Afrika bila ngozi nyeupe hakuna jipya.
Ogopa sana mtu mpumbavu anayejiona ana nguvu ndugu yangu.Jwtz washaurike kwa kweli, yaani jeshi badala ukuze productivity kwenye military industry unaanza kuwekeza kwenye viwanda vya kupasua kokoto?
Hawajawaza vizuri kabisa