Jioni moja miaka mingi iliyopita na Subhash Patel

Watu wameshazoea uandishi wako uliotulia na unaoeleweka. Sasa hii ya leo si kawaida yako kwani umetuacha njia panda hatuelewi ulitaka kuandika hiyo sinema ya message uliyoiona au marehemu Subhash. Ongezea ongezea nyama japo kidogo Mkuu.
Mtu...
Uzee mbona ninao siku nyingi tu.
Sasa nina miaka 68.

Jamani Subash nimekwenda kwake na kukutananae siku moja tu.

Siwezi kuwa na mengi.
Toshekeni na hayo ndugu zanguni.
 
Watoto wa uswahili wangesema una force undugu/urafiki.
 
Huyu conspiracist vipi amekuwaje tena jameen aturejee wengine twapenda maandiko yanayotusafirisha mbali twajiona kama nasi tulikuwepo pale Tabora wakt Shekhe Suleman Takadin ....
 
Watoto wa uswahili wangesema una force undugu/urafiki.
Wile,
Subash hajapata kuwa mtu tuliyesuhubiana.
Rudia kusoma hili liko wazi.

Nami si mchache wa jamaa na marafiki.
 
Huu uzi wamekuheshimu kwasababu ya Muda uliojiunga JF wame calculate wamepata jibu

umewazidi umri wengi sana ndio mana kidogo wanakushambulia kistarabu,ila nakuhakikishia

mkuu huu uzi ningeuanzisha mimi au member id joining year inasoma 2020 hamna neno tungeacha ambiwa.

sometimes ID kongwe zikianzisha nyuzi kuna ka respect afu nakapendaga hako ka heshima namimi basi tu sijui nifanyeje.
 
Nshamalizana na mzee baba.
 
Hahahaaaa mkuu....huijui JF challenging ni kubwa kuliko appreciations mimi mwenyewe namchallenging huyo mzee lakini hicho kitabu lazima ntakitafuta na nitakisoma tuu
 
Mtu...
Uzee mbona ninao siku nyingi tu.
Sasa nina miaka 68.

Jamani Subash nimekwenda kwake na kukutananae siku moja tu.

Siwezi kuwa na mengi.
Toshekeni na hayo ndugu zanguni.
Mi naamini umekutana na watu wote mashuhuri wa dunia hii

Au nakosea?
 
Sasa mbona umeishia njiani au umeenda chooni kwanza tukusubiri urudi.
 
Hivi hii movie ya The Messenger si ndo hii ilitaka kuwaamsha waislam duniani kuandamana? Au nimemix
 
Billie,
Hicho ndicho kiasi nilichomfahamu Subash Patel.

Sina mengi.
Mzee said heshima yako, vipi unauonaje mwenendo wa taifa letu hasa kwa kipindi hiki ambacho ni 2020-2025 katika nyanja ya uchumi, kijamii na kisiasa!??
 
Hadithi inatufundisha tujitahidi kuwa na kumbukumbu
 
R
R.I.P. SUBASH PATEL.
 
Billie,
Hicho ndicho kiasi nilichomfahamu Subash Patel.

Sina
Mzee wangu natumaini u bukheri wa afya.

Katika historia yako uliwahi kufanya katika Bandari ya Dar es Salaam na kwenda Misri ambazo zilikuwa ni nafasi zinatolewa Kwa watanzania kujiendeleza katika sekta ya Bandari na masuala ya meli.

Kulikuwa na maneno kuwa nafasi hizo zilikuwa zikilenga watu wa dini moja,undugu,kupeana na watu wasio na vigezo kisha wakifika kule masomo yanawakimbiza na kurejea na mabegi nchini.

Pia utupe story ya kifo cha NASACO,TACOSHIL.

Pole Kwa msiba wa Patel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…