BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Watu wameshazoea uandishi wako uliotulia na unaoeleweka. Sasa hii ya leo si kawaida yako kwani umetuacha njia panda hatuelewi ulitaka kuandika hiyo sinema ya message uliyoiona au marehemu Subhash. Ongezea ongezea nyama japo kidogo Mkuu.
Mtu...
Uzee mbona ninao siku nyingi tu.
Sasa nina miaka 68.
Jamani Subash nimekwenda kwake na kukutananae siku moja tu.
Siwezi kuwa na mengi.
Toshekeni na hayo ndugu zanguni.