Jioni ya 4/11/2019 safarini Uganda kibiashara

{Kwa wale wamcha Mungu ni mtihani, nimependa hii sentensi}

hivi nauli ya kutoka dar mpaka kampala ni sh ngap?
 
U
Chips mayai hakuna, ukitaka unapewa chips peke yake na mayai peke yake, hawamix kama tz
Ukitaka chips yai una ingia solo la owino ndani ndani kuna bi mkubwa mmoja ndo walikuwa ana uza sema daah kitambo sana pande hizo cjui kama bd ana uza Uganda rahaa sana
 
Hii chakula inaitwa Chikomando. Ni mchanganyiko wa vyakula kibao.
Hiyo sio kikomandoo mzee kikomandoo ni chapati na maharage vina changanywa kwa pamoja huku chapati ikiwa imekatwa vipande vidogo vidogo.. Huo msosi hadi Bob wine bad man from kamoja Ali utungia wimbo.. Ukiwa una penda kula laini una kula Rolex mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…