FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,050
- 2,651
Ok.huenda nilipigwa.
Haiwez kufik 50 maan boda n 35 ...ni 15-20 inachezea hpo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haiwez kufik 50 maan boda n 35 ...ni 15-20 inachezea hpo
Inategemea na rate ya wakati huo, normal rate huwa ni 1.60 kuna wakati inaongezeka na kuna wakati inapunguaLaki 6 ya Tz ni 1M ya Ug
Hatari sana wanapenda vyakula vya asili sanaOngezea na binyebwa na butunda maisha ya Uganda raha sana ukijuwa jinsi ya kuya ishi daah
Kikomando ni chapati inakatwa vipande wanamix na maharageHii chakula inaitwa Chikomando. Ni mchanganyiko wa vyakula kibao.
Chips mayai hakuna, ukitaka unapewa chips peke yake na mayai peke yake, hawamix kama tzEndelea kutupa info mzee
Kwa sasa sipo ug wala tz ila huwa natembelea sana hukomkuu inaonekana ni mzoefu sana huko Ug hivi kwa sasa unapatikana Ug au Tz
Haya maneno kwa kiswahili unaweza jikuta umetukana tusiNakivubo Munyonyo buziga
{Kwa wale wamcha Mungu ni mtihani, nimependa hii sentensi}Mtu anakula ugali,wali,viazi,ndizi,mihogo vyote kwa pamoja ktk mlo mmoja.
Kijiko hakitumiki sana, huku ni uma/folk ndo wanatumia kula kila chakula hata ugali wanatumia folk.
Vimini vyenye mipasuo ni kawaida na watu hawashangai, maumbo ya kibantu huku ndo kwao, kwa wale wachamungu ni mtihani sana huku.
Biashara imeshamiri sana kila mtu anajishughulisha ni wachache sana wavivu, wizi upo kwa kiwango kikubwa tena mchana,kuwa makini na simu yako pamoja na begi.
Tubasanyukidde.
Experience 2019.
Hata kenya hamna chipsi yaiChips mayai hakuna, ukitaka unapewa chips peke yake na mayai peke yake, hawamix kama tz
2016 ilikua 15kHaiwez kufik 50 maan boda n 35 ...ni 15-20 inachezea hpo
Cjawah kuchange rate hiyo 1.57,56,58 ukichange mpakan ndo majanga yenyewe hayooInategemea na rate ya wakati huo, normal rate huwa ni 1.60 kuna wakati inaongezeka na kuna wakati inapungua
Hata kenya hamna chipsi yai
Ukitaka chips yai una ingia solo la owino ndani ndani kuna bi mkubwa mmoja ndo walikuwa ana uza sema daah kitambo sana pande hizo cjui kama bd ana uza Uganda rahaa sanaChips mayai hakuna, ukitaka unapewa chips peke yake na mayai peke yake, hawamix kama tz
Hiyo sio kikomandoo mzee kikomandoo ni chapati na maharage vina changanywa kwa pamoja huku chapati ikiwa imekatwa vipande vidogo vidogo.. Huo msosi hadi Bob wine bad man from kamoja Ali utungia wimbo.. Ukiwa una penda kula laini una kula Rolex mzeeHii chakula inaitwa Chikomando. Ni mchanganyiko wa vyakula kibao.
Baadhi ya sehemu zipo.Restaurant ambayo basi la Falcom walikuwa wakisimama zipo,nadhani ni wabongo wale.Hata kenya hamna chipsi yai
Mkuu tupe updates vp huko?Tayari niko home Tanzania nimerudi salama nikitulia nitajaribu kushare experience ndogo niliyoipata huko
Hao ndio itakuwa watz maana niliulizia wakaniambia huku hamnaBaadhi ya sehemu zipo.Restaurant ambayo basi la Falcom walikuwa wakisimama zipo,nadhani ni wabongo wale.