kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Fouintain gate ni singida big stars ya mwigulu nchemba doto ya singida black stars hili nalo ni tawi jingine la yanga wala hawezi pata upinzani ni maelekezo na simu moja kutoka kwa mwenye timu hivyo ni yanga kijizolea point na kocha kupanga kikosi cha wachezaji wa akiba tutegemee magoli ya mchongo na mbeleko hivi kwanini VAR haifungwi tukashuhudia ule uhuni wa magoli ya mkono na penati za bila kuguswa.....
Hii mechi hatuwezi pata burudani kama mechi zenye ukweli pasi na chembe ya upangaji matokeo TFF tunaomba mseme na marefa kitendo cha bacca kufunga magoli ya mkono na penati ya utata ya dube ambayo hakuguswa sio nzuri kwa afya ya soka la bongo inarudisha nyuma simba,azam na tabora wanatumia gharama kufanya usajili wa gharama lakini leo hii watu wanafunga kwa mikono sasa hapo kuna ushindani au kubebana..........
Kama leo hakuna burudani ila kuna upuuzi tu!