Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Pole, fanya uvitwangeNimeandaa matunda parachich, Tango,Ndizi,passion,mchaichai Na tangawizi Ni juisi yangu pendwa Sana Huu mchanganyiko ...nikasema niandae zangu baadae nikae nawatch movie huku nashushia juisi yangu....nimeanza kusaga tu Brenda ikaungua😭...Yan nimeishiwa pozi...
huo mchaichai jePole Sana
Mix ule kama fruits tuu!
Lazimabtu jioni yako iwe mbaya kwa mtindo huu!!..Nimeandaa Tango,Ndizi,passion,mchaichai Na tangawizi Ni juisi yangu pendwa Sana Huu mchanganyiko .
Nikasema niandae zangu baadae nikae nawatch movie huku nashushia juisi yangu....nimeanza kusaga tu Brenda ikaungua😭...Yan nimeishiwa pozi...
Nilishayachanganya Na MajiPole Sana
Mix ule kama fruits tuu!
AhsantePole sana mkuu
Havitakua Na taste nzuriiiPole, fanya uvitwange