Jioni yangu imekua mbaya ghafla😩😩😩😩😩

Jioni yangu imekua mbaya ghafla😩😩😩😩😩

Nimeandaa matunda parachich, Tango,Ndizi,passion,mchaichai Na tangawizi Ni juisi yangu pendwa Sana Huu mchanganyiko .

Nikasema niandae zangu baadae nikae nawatch movie huku nashushia juisi yangu....nimeanza kusaga tu Brenda ikaungua😭...Yan nimeishiwa pozi...
Unaishi alone? Dah achana na juice hebu chukua bolt uje hapa Kinyerezi, pole sana Ndugu yangu
 
Back
Top Bottom