tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Pole sana mkuu. Kaazime kwa jirani.Nimeandaa matunda parachich, Tango,Ndizi,passion,mchaichai Na tangawizi Ni juisi yangu pendwa Sana Huu mchanganyiko .
Nikasema niandae zangu baadae nikae nawatch movie huku nashushia juisi yangu....nimeanza kusaga tu Brenda ikaunguaðŸ˜...Yan nimeishiwa pozi...