Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 7,982
- 27,272
Haha..Amen Mpendwa, naona Ndugu yangu anapata shida wakati hapa home tumeandaa kila kitu na tuko wenyewe, akaribie hapa Kinyerezi tu
Hapo 'tuko wenyewe' naomba ufafanuzi tafadhali sana..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha..Amen Mpendwa, naona Ndugu yangu anapata shida wakati hapa home tumeandaa kila kitu na tuko wenyewe, akaribie hapa Kinyerezi tu
Weeee! Wapi huko ambako majirani hawasagi juice? Hawasagi vyakula vya watoto, hawasagi spicesHawana
😂😂 ila JfBora umemwagia.. huo mchanganyiko ulikua unataka kujiua?
Hahahahaah tuko wenyewe na Aunts zako Tu! Wageni wameshindwa kuja....akuje Tu tutamrudisha salamaHaha..
Hapo 'tuko wenyewe' naomba ufafanuzi tafadhali sana..!!
Haha..Hahahahaah tuko wenyewe na Aunts zako Tu! Wageni wameshindwa kuja....akuje Tu tutamrudisha salama
Mkuu, Wewe hauja haribikiwa na kifaa chochote hapo nyumbani 😋😋.??wazee wa 'loose ball'..!
Ila nimecheka..!😂😂
Unaambiwa hata mwenyekiti wa mtaa hana yaniAende kwa mjumbe akaazime
Njoo uchukue brebda mremboNimeandaa matunda parachich, Tango,Ndizi,passion,mchaichai Na tangawizi Ni juisi yangu pendwa Sana Huu mchanganyiko .
Nikasema niandae zangu baadae nikae nawatch movie huku nashushia juisi yangu....nimeanza kusaga tu Brenda ikaunguaðŸ˜...Yan nimeishiwa pozi...
Jembe la kukokotwa na ng'ombe limevunjika mkuu nataka wa kulima naye kwa jembe la mkono...Mkuu, Wewe hauja haribikiwa na kifaa chochote hapo nyumbani 😋😋.??
Uzi tayali 🤣🤣🤣Nimeandaa matunda parachich, Tango,Ndizi,passion,mchaichai Na tangawizi Ni juisi yangu pendwa Sana Huu mchanganyiko .
Nikasema niandae zangu baadae nikae nawatch movie huku nashushia juisi yangu....nimeanza kusaga tu Brenda ikaunguaðŸ˜...Yan nimeishiwa pozi...
Bora hauchemshe then ana mixhuo mchaichai je
location please?😉😉Jembe la kukokotwa na ng'ombe limevunjika mkuu nataka wa kulima naye kwa jembe la mkono...
Haya mpelekee blender.Majirani zake si ndio Sisi?