INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Lengo la huo mzigo uende mtwara na mm nko moro ivo naangalia uwezekano either nisubir adi ntapoenda mwenyewe ndo niunganishe nao ivo bado cjafanya maamuzi kip nifanye ndo maana unona kama nasita. Hivo nkijua kip nifanye ntakucheki ela yako ipo tu
 
Tatizo uanaimani ndogo ila swala lakutuma mzigo kwetu sisi nijambo rahisi hofu yako nikudhulumiwa au nn
 
Ndo ivo c wengine apo ni wapita njia tu ila nkiwa tayar ntakushtua I promise
 
Ndo ivo c wengine apo ni wapita njia tu ila nkiwa tayar ntakushtua I promise
Wewe tu na iman yako japo swala lakutuma halingekuwa natabu mkuu huwa tunatuma kwny mining tashrifu na butilazungu
 
Mbali na kutifautiana ukubwa wa majina (brand name ) nini tofauti nyingine ya wazi wazi kati ya hizi TV (smart) lg , Samsung , auling , tcl , star x na brand nyingine zisizokua na majina ?
 
Mbali na kutifautiana ukubwa wa majina (brand name ) nini tofauti nyingine ya wazi wazi kati ya hizi TV (smart) lg , Samsung , auling , tcl , star x na brand nyingine zisizokua na majina ?
Tofauti bei kazi sawa tofaut yawazi hakuna mkuu
 
hakuna kitu napenda kama mtu anauza bidhaa na kutoa bei zake kabisa, biashara nyingi za kibongo huwa wanataka ufike wakutizame usoni ulivyo ndio utajiwe bei ya kupigwa, hongera mkuu
Hata me nimeliona hili kwa wafanyabiashara wengi, utasikia njoo whatsapp, sasa mtu uta save number za wangapi
 
Desktop ni kiasi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…