Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo uanaimani ndogo ila swala lakutuma mzigo kwetu sisi nijambo rahisi hofu yako nikudhulumiwa au nnLengo la huo mzigo uende mtwara na mm nko moro ivo naangalia uwezekano either nisubir adi ntapoenda mwenyewe ndo niunganishe nao ivo bado cjafanya maamuzi kip nifanye ndo maana unona kama nasita. Hivo nkijua kip nifanye ntakucheki ela yako ipo tu
Wewe tu na iman yako japo swala lakutuma halingekuwa natabu mkuu huwa tunatuma kwny mining tashrifu na butilazunguNdo ivo c wengine apo ni wapita njia tu ila nkiwa tayar ntakushtua I promise
Ndio mkuuEtiii LED TV za startimes zina decoder hapo hapo..... nauliza kuwa hizo decoder zinashika chennel za ndani(local channel)...?
Tofauti bei kazi sawa tofaut yawazi hakuna mkuuMbali na kutifautiana ukubwa wa majina (brand name ) nini tofauti nyingine ya wazi wazi kati ya hizi TV (smart) lg , Samsung , auling , tcl , star x na brand nyingine zisizokua na majina ?
Hata kwenye mng'ao na u slim?Tofauti bei kazi sawa tofaut yawazi hakuna mkuu
LG na Samsung kidogo zinautofaut japo sio sanaHata kwenye mng'ao na u slim?
Hata me nimeliona hili kwa wafanyabiashara wengi, utasikia njoo whatsapp, sasa mtu uta save number za wangapihakuna kitu napenda kama mtu anauza bidhaa na kutoa bei zake kabisa, biashara nyingi za kibongo huwa wanataka ufike wakutizame usoni ulivyo ndio utajiwe bei ya kupigwa, hongera mkuu
KaribuHata me nimeliona hili kwa wafanyabiashara wengi, utasikia njoo whatsapp, sasa mtu uta save number za wangapi
Asante sanaLG kidogo inautafaut zipo juu kidogo
Naomba niwekee bei za LG saiz zote flat mkuu ninichagulieLG nch 43![]()
Price 900,000
Zipo za king max na bison Nchi 3 zinauwezo wakuvuta maji umbali wa m100 nakusuply umbali unaizidi m300 ukilingana na urefu wa pipe yako tank linabeba litatano za petrol![]()
Desktop ni kiasi ganiTuna bidhaa za maofisini na majumbani tupo Kariakoo msimbazi Azania benki flow ya chini kabisa pia mikoani tunatuma
Bidhaa zetu ni[emoji116]
Home theater aina zote
Amplifier aina zote
Friji friza aina zote
Water pump aina zote
Majenereta aina zote
TV flat za kisasa aina zote
Redio aina zote
Printers aina zote
Meza za urembo na TV aina zote
Redio za gari na spika Zane
Ac fane air cooler aina zote
Computer na laptop aina zote
Vifaa vya saloon za kike na kiumes
Solar panel na vifaa vyake
Tv za solar
Projecta aina zote
Na bidhaa nyingine nyingi kwa bei nafuu
![]()
With Bluetooth memory card and flash
FM radio remote control
Price 310,000
Mawasiliano: 0672852415
420,000HII NI BEI GANI MKUU