INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

Generator la 2.8Kv au zaidi unauzaje mkuu?

Aina zake na bei tafadhali...
Zipo aina nyingi kama king max, boss, tiger, Honda, Bosch, nk zote bei moja na ufanisi mmoja na unapewa warrant miaka miwili
Price 400,000
 
Mkuu nafurahishwanatanatangazo yako na huna longokongo! TUWEKEE BEI YA VITI VYA SALOON ya kiume +picha
Viti vya saloon vipo vya kisasa bei kuanzia 170,000 upande wapicha sina niwe muwazi siku weka ila unaweza kuja ofisini ukapata
 
Speaker za radio ya gari ni tsh ngapi yenye uwezo wa kati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…