Jipatie bidhaa mbalimbali kupitia kwenye minada yetu moja kwa moja kutoka Japan

Jipatie bidhaa mbalimbali kupitia kwenye minada yetu moja kwa moja kutoka Japan

864ff561-4a6b-49e3-a6c8-7f4dfde990fc.jpg

d26534dc-e8ee-4b08-b93f-a280645d1b84.jpg


Mashine kam hizi mnazo? Bei ipoje?
 
Hoja yako nini sijakuelewa bidhaa inaweza kutoka USS, JU, OYAMA ,AAA yahoo as long as ni member wa hizo actions na bidhaa ikiwa ndani ya Japan

Sijakuelewa vizuri hoja yako labda ungetoa ushauri concept gani inakuchanganya ifanyiwe maboresho badala ya kuongea jumla jumla.

Nfumo tunaoutumia nifumo wa minada wakawaida sana una options tatu
1.Ku-bid
2.Kutuma offa
3.Kununua moja kwa moja

Nfumo wa pili niwa Live streaming bado hatujaanza kutumika kwenye hii line yetu ya Dar

Ebu niambie kitugani kisicho heleweka tukiboreshe unatakiwa kusoma na kuelewa vizuri tuelimishane
kwa majibu hayo lazima akimbie wabongo tumejaa nongwa na manung'uniko, tunapenda sana kutafuta dosari katika jambo zuri.
 
Mjoo tukuagize chochote unachokita kutaka Nchi Tatu JAPAN UK na South Africa Tuna agaiza bidhaa kama zifutazo hapo chini kwa garama nafuu sana.

1. Pikipiki za aina zote,

2. Mgari ya kutaka vipuli

3. Laptop

4. Desktop

5. Simu

6. Camera Lens

7. Vifaa vya kilimo trekita Pawatira Green House

8. Vifaa vya maofisini kama printer Meza nk

9. Vifaa vya matumizi ya nyumbani Mafriji Mashine za kufulia nguo Majiko

ya Ges nk

10. Vifaa vya ujenzi wa barabara na miradi mbali mbali kama Rolla Graders

Excavators

11. Magari

12. Vipuli

13. Mashine za kushona nguo za Juki Brother Singer Mitsubishi Toyota

14. Vifaa vya Gereji Mashine za kubadilisha Matairi Jeck za kunyanyua magari

Compressor

15. Majenereta

16. Saa za mkononi

17. Work stations

18. Music kama Vinanda , DVD, amplifier

19. Mabegi ya Mtumba

20. Vifaa vya mahospitalini

21. Vifaa vya uvuvi ziwani na baharini Boat Engine za Boat Meli

22. Nanyingine nyingi



Kwa maelezo zaidi tutembele kwenye ofisi zetu zilizoko Ilala Mtaa wa Lindi na Iringa. Au piga simu ya kiganjani +255-676-531-804

Share nawenzako Taarifa hizi, ukipokea mzigo wako toa maoni yako utusaidie kuboresha huduma zetu.

Naomba jina la Kampuni na website yenu kama ipo
 
Back
Top Bottom