Jipatie bidhaa mbalimbali kupitia kwenye minada yetu moja kwa moja kutoka Japan

Pamoja na ushuru?
 
Habari boss
Nashida na hii camera pale kwenye mnada haina lens nilimtumia msg seller nakumwambia anitafutie Lens zake kisha anitumie bei kimya

Sijaelewa inakuwaje naomba kupitia page hii nijibu tayari nina balance kwenye wallet yangu nangoje Lens

Naona wamekuja kivingine nimefurahi sana nimeisha nunua bidhaa nyingi kupitia kwenye mnada wao, kwasasa nashida na Engine ya fuso
 
Pole sana boss wangu kwakuchelewa kujibu,swala lako nalifanyia kazi.
 
Brother ni wewe ulikuaga pale Mwalimu House ilala?
 
Habari bro Vipi kuhusu Lens bado sijajibibwa naomba unisaidie ndugu yako mimi ni mteja wenu tangu 2018 nimeisha agiza bidhaa nyingi kupitia kwenye website yenu nimeisha chukulia mzigo wangu kwenye yard ya Serekali Temeke naomba unisaidie

Habari za asubuhi!

1.Ulisema unata lens ya size gani na campuny gani.
2. Bajet yako ni bei gani ?
3.Ungependa tuisafirishe kwanjia gani kati ya container mzigo unachukua mwezi moja kufikia dar.
4. Ems mzigo unachukua siku tano hadi sita lakini ghalama ya usafiri iko juu kidogo.
 
Canon 5D Mark IV

Lens 24 - 105

Nitumie bei
 
Habari bro Vipi kuhusu Lens bado sijajibibwa naomba unisaidie ndugu yako mimi ni mteja wenu tangu 2018 nimeisha agiza bidhaa nyingi kupitia kwenye website yenu nimeisha chukulia mzigo wangu kwenye yard ya Serekali Temeke naomba unisaidie
Ngoja kidogo nakupa bei mkuu
 
tovuti yenyewe hata aieleweki wala nini
Pole sana unaweza kutuambia umekwama wapi ili tuboreshe tovute,pia unawa kutoa oder yako kupita page hii bila kuingia kwenye tovutu
 
Mm nahitaji seedsplanting machine kwajili ya kupandia mahindi, alizeti,mahalagwe nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…