Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hiyo elfu 80 au laki 8View attachment 1308070
LCD iPhone 6 Original mpya 80,000 Tsh
Naomba detail zake na bei yake mkuu
Pamoja na ushuru?View attachment 1284881
Tuwekeze kwenye Uvuvi hii ni boat ya uvuvi ya kisasa ndani mzuri sana kuna vifa vya kisasa vya uvuvi ndani iko bomba ya kijanja sana kuwa wakwanza kuimiliki
1.Ina vifaa vyakuta samaki na ktambua walipojificha
2.Kutambua aina ya Samaki
3.Wingi wa samaki
4.Nyavu a kisasa za kunasa Samaki
5.Speed
6.Fulu kiyoyozi
Bei yake M 10
Naona wamekuja kivingine nimefurahi sana nimeisha nunua bidhaa nyingi kupitia kwenye mnada wao, kwasasa nashida na Engine ya fusoHabari boss
Nashida na hii camera pale kwenye mnada haina lens nilimtumia msg seller nakumwambia anitafutie Lens zake kisha anitumie bei kimya
Sijaelewa inakuwaje naomba kupitia page hii nijibu tayari nina balance kwenye wallet yangu nangoje Lens
View attachment 1868585
Hii page wameitelekezaNaona wamekuja kivingine nimefurahi sana nimeisha nunua bidhaa nyingi kupitia kwenye mnada wao, kwasasa nashida na Engine ya fuso
Pole sana boss wangu kwakuchelewa kujibu,swala lako nalifanyia kazi.Habari boss
Nashida na hii camera pale kwenye mnada haina lens nilimtumia msg seller nakumwambia anitafutie Lens zake kisha anitumie bei kimya
Sijaelewa inakuwaje naomba kupitia page hii nijibu tayari nina balance kwenye wallet yangu nangoje Lens
View attachment 1868585
Hapana boss wangu tupo muda wote.Hii page wameitelekeza
Sawa fanya mpango Lens jombaaHapana boss wangu tupo muda wote.
Ok sawa tunaomba update kila mala kupitia page hiiHapana boss wangu tupo muda wote.
Habari bro Vipi kuhusu Lens bado sijajibibwa naomba unisaidie ndugu yako mimi ni mteja wenu tangu 2018 nimeisha agiza bidhaa nyingi kupitia kwenye website yenu nimeisha chukulia mzigo wangu kwenye yard ya Serekali Temeke naomba unisaidie

Habari za asubuhi!Habari bro Vipi kuhusu Lens bado sijajibibwa naomba unisaidie ndugu yako mimi ni mteja wenu tangu 2018 nimeisha agiza bidhaa nyingi kupitia kwenye website yenu nimeisha chukulia mzigo wangu kwenye yard ya Serekali Temeke naomba unisaidie
Canon 5D Mark IVHabari za asubuhi!
1.Ulisema unata lens ya size gani na campuny gani.
2. Bajet yako ni bei gani ?
3.Ungependa tuisafirishe kwanjia gani kati ya container mzigo unachukua mwezi moja kufikia dar.
4. Ems mzigo unachukua siku tano hadi sita lakini ghalama ya usafiri iko juu kidogo.
Ngoja kidogo nakupa bei mkuuHabari bro Vipi kuhusu Lens bado sijajibibwa naomba unisaidie ndugu yako mimi ni mteja wenu tangu 2018 nimeisha agiza bidhaa nyingi kupitia kwenye website yenu nimeisha chukulia mzigo wangu kwenye yard ya Serekali Temeke naomba unisaidie
Pole sana unaweza kutuambia umekwama wapi ili tuboreshe tovute,pia unawa kutoa oder yako kupita page hii bila kuingia kwenye tovututovuti yenyewe hata aieleweki wala nini