Jipatie bidhaa mbalimbali kupitia kwenye minada yetu moja kwa moja kutoka Japan

Mbona kila nikitaka kufanya malipo kuna ongezeke la asilimia mbili nashindwa kuelewa ya nini naomba unieleweshe tangu Jana nimewatumia msg Japan kuwalizia yanini kaniambia niwaulize nyie huku
 
Aisee. Na mimi nataka bulletproof wallet. Made in Japan, of course.
Yap! Air conditioned jacket zipo. Zilikua designed na injinia wa kijapan. Ni kwa watu wanao sweat sana...na hasa ikiwa wapo exposed kwenye kazi za juani sana au wakati wa mihangaiko. Mimi natoka jasho profusely - bila sababu. Ni tatizo linaitwa hyperhidrosis. Sasa hii kitu nikipata itanifaa sana na mjoto huu wa Daslam city.
 
Epuka msg za C&P
 
Nimetembelea website yenu nimeona vitu vingi sana, ila mjitahidi kuwalenga na watu wa kawaida sana kama vitu vya nyumbani

Pia kwenye suala la malipo wekeni Mastercard Payment
 
Nimetembelea website yenu nimeona vitu vingi sana, ila mjitahidi kuwalenga na watu wa kawaida sana kama vitu vya nyumbani

Pia kwenye suala la malipo wekeni Mastercard Payment
Kweli Japan kuna vifaa vizuri sana nataka vitu vingi sana vvombo Brenda vijiko rice cooker wekeni hizo vitu pesa zangu mtazipata nyingi
 
Nimetembelea website yenu nimeona vitu vingi sana, ila mjitahidi kuwalenga na watu wa kawaida sana kama vitu vya nyumbani

Pia kwenye suala la malipo wekeni Mastercard Payment
Asante kwa ushauri wako Payment Gateways ambazo ziko disable muda wowote zinaweza kutumika

Payment Gateways zinazotumika
Kuhusu vitu vya kawaida ndiyo target yetu kubwa kuna vyomba na vifaa mbalimbali vingi sana tunaomba watu wajisajili kwawingi siku ya mnada week kabla kila user atatumiwa barua pepe na kupewa list ya vitu vyote vitakavyo uzwa kwenye mnada ili tuanza minada ya papo kwa hapo tunatakiwa users wengi kwenye website bidhaa zinaanzaia shilling 500
 

Kama wewe ni mfanya biashara za spare za magari za mtumba au Gari lako linasumbua spare ingia kwenye website yetu www.digxam.com / forum andika aina ya gari toa maelekezo likatweje kisha utapewa gharama za manunuzi ukataji usafirishaji pamoja na ushuru.
 


Asanteni sana wateja wetu wote bado kuna bidhaa mbalimbali kutoka kupitia kwenye website yetu www.digxam.com Container bado kabisa mizigo bado sana wadau wote wafanya biashara wa jumla na leja leja wakulima wafugaji wafanya kazi wavuvi kwa pamoja njoo tujaze kontaine liondoke kabala ya mwaka mpya.Kuna Faida nyingi sana za kununua bidhaa kutoka Japan kuitia kwenye website yetu ya Digxam.com.

1.Chochote utakacho kinunua kupitia kwenye website yetu kimekaguliwa na team ya wakaguzi
2.Gharama Nafuu
3. Mzigo una viwango (Standards)

Faida za kusafirisha mzigo kwa njia ya container .
1.Zigo kubwa zito gharama kiduchu
2.Mizigo isiotakiwa kukunjwa ukaa vizuri kwenye container
3.Idadi kubwa ya mizigo
4.Usalama wa Mizigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…