Jack Lee
Member
- Feb 23, 2011
- 71
- 70
Vipi mizigo yetu yote imepakiwa mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi mizigo yetu yote imepakiwa mkuu?
Drones kwa matumizi ya utafiti kuhusiana na shughuli za ujenzi na kilimo.Biashara za ndege Helicopter nilazima uje officeni zipo Drones unaitaka kwa matumizigani kisha nitaangalia sheria za ungizaji zinasema nitakupa jibu.
Sehemu ya kujaza taarifa ni wapi Mkuu1.)Mkuu Asante kwakuliza swali Ndani ya Japan nikosa kisheria kuuza bidhaa au kitu kibovu na ndio maana ukiangalia picha za bidhaa mbalimbali utakuta sehemu yenye creki au sehemu ambazo zimechubuka panazungushiwa mstari mkubwa.
2.) Bidhaa zote zinatumwa offic kabla ya kufanya malipo kwa seller anapigiwa simu kulinganisha maelezo ya bidhaa ndani ya site.
3.)Bidhaa ikifika offini kwetu tunaikagua na kuifunga upya
Ya umeme, heavy dutyCar wash Zipo unataka ya mafuta au ya umeme?
My AccountSehemu ya kujaza taarifa ni wapi Mkuu
Ya three phase au single phase
Tracking namba siioni mkuuMy Account
2.Personal Information
3.Jaza Shipping Info
4.Profile Description: weka na website yako kama unayo
5.Option Profile Avatar weka log ya kampuni yako au Taasisi kama unayo picha yako au picha yoyote
OKAngalia kwenye email yako ukikosa tuma request kwa admin
Nimetuma sijajibiwa tangu mchanaUkikwama sehemu yoyote uliza
Kipya au mtumba?na je ni vipi kama nitataka baloo zima la bidhaa za mtumba kama vile nguo na viatu
Nipe details mkuu itakuwa vizuri zaidi sana
Mkuu mzigo umepatikana vipi bado unahitaji
Toka nifanye registration nikawa nasubir kutumiwa password kwenye email mpaka leo hii haijaingia
Umejisajili kwenye website kisha nikupe maelekezo