Jipatie bidhaa mbalimbali kupitia kwenye minada yetu moja kwa moja kutoka Japan

Jipatie bidhaa mbalimbali kupitia kwenye minada yetu moja kwa moja kutoka Japan

Naomba bei ya ndege used Cessna 172G na professional drones mpya siyo toys.
 
1.)Mkuu Asante kwakuliza swali Ndani ya Japan nikosa kisheria kuuza bidhaa au kitu kibovu na ndio maana ukiangalia picha za bidhaa mbalimbali utakuta sehemu yenye creki au sehemu ambazo zimechubuka panazungushiwa mstari mkubwa.

2.) Bidhaa zote zinatumwa offic kabla ya kufanya malipo kwa seller anapigiwa simu kulinganisha maelezo ya bidhaa ndani ya site.
3.)Bidhaa ikifika offini kwetu tunaikagua na kuifunga upya
Sehemu ya kujaza taarifa ni wapi Mkuu
 
Sehemu ya kujaza taarifa ni wapi Mkuu
My Account
2.Personal Information
3.Jaza Shipping Info
4.Profile Description: weka na website yako kama unayo
5.Option Profile Avatar weka log ya kampuni yako au Taasisi kama unayo picha yako au picha yoyote
 
234790.jpg

Container la 40ft liko Ofisi KWETU 3-18-10 Funabashi CHIBA 2740068 Tokyo Japan kwenye foleni ya kupakia mzigo wako njia moja kuja Dar Es salaam fanya mamuzi mzigo wako upakiwe mapema ufike mapema Our priority is to make our customers smiles the whole times. 100% satisfaction guaranteed!!
 
My Account
2.Personal Information
3.Jaza Shipping Info
4.Profile Description: weka na website yako kama unayo
5.Option Profile Avatar weka log ya kampuni yako au Taasisi kama unayo picha yako au picha yoyote
Tracking namba siioni mkuu
 
Mkuu naomba uniangalizie concreate mixer na bei yake , nimeingia kwenye website sijaona chief
 
Back
Top Bottom