Car4Sale Jipatie magari mazuri kwa bei ya mmiliki

NISSAN PATROL NAMBA B ENGINE td 35
BEI MILION 25 CALL 0718295182, 0753254562 BANGOJEUPE
 
Hello. Mark 2 grande inahitajika namba DE.. na kuendelea bajeti kuanzia M6 mpaka 65.
 
MAKE TOYOTA .
MODEL CHASEA .
Km 14785
MODEL NUMBER SX 90 ENGINE CAPACITY 1938,
MWAKA 1994
MIL 4
Call
0718295182
0753254562
BANGOJEUPE
 
Arusha wanafanya hivyo. Wakali anakutafutia gari anakukutanisha na tajiri mkikubaliana yeye anapata % anasepa
 
Una suzuki jimny yenye sifa zifuatazo?
Name :Suzuki jimny.
Yom :1998 & above.
Cc :660.
milleage: below 80,000/=
My budget is 8,000,000/=.

Ukiipata nichek mkuu
 
Una suzuki jimny yenye sifa zifuatazo?
Name :Suzuki jimny.
Yom :1998 & above.
Cc :660.
milleage: below 80,000/=
My budget is 8,000,000/=.

Ukiipata nichek mkuu
Wewe ndie muhitaji?
 
Ni mm mkuu, mm sio dalali.. kama gari unayo sema kesho tuonane..
 
NOAH KALI SANA
MASHINE HAIJAGUSWA
Cc 1990
Mil 8 TZS
Neg
LOCATION KIGAMBONI
Call
0718295182
0765505909
 
MITSUBISHI OUTLANDER
mwaka 2006
KM 60,000.
Auto transmission
CC 2400,
viti vya ngozi na ni keyless entry
MIL 18
CALL
0718295182
0765505909
BANGOJEUPE
 
Noah sr 40 four wheel
Ml 9.5fixed
Naitaka hiyo ipo wapi kuikagua jibu maswali haya
1.service card ipo/haipo
2.matumizi: biashara/ binafsi
3.Ajali:ilipata/haijapata
4.Mnunuzibongo: 2/3 4
/4
U
5.Ushuru: imelipiwa/hajalipiwa
6. Picha za ndani
7.Bei ya mwisho kuuza
8. Inasoma kilomita ngapi
9.Kwanini unauza gari yako nzuri hivi?
 
Hayo yote utajibiwa ukienda kukagua,ila mkuu una mikwara afu ukute Sio mnunuzi [emoji2] [emoji2] [emoji1]

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
 
Imeuzwa
 
Ninaitaka hiyo kama haijauzwa nibeep 0623305695 tufanye biashara serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…