Jipatie mkopo unufaike hapa bongo...BRANCH ndiyo kampuni bora ya kutumia

patric kibasa

Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
21
Reaction score
13
Una emergency yoyote na unahitaji pesa kwa haraka? Unahitaji mkopo? BRANCH ni Application iliyoanzishwa na Mzungu kutoka Marekani inayotoa mikopo direct kwenye simu yako. Unachohitaji ni kuDownload Application hii playstore na kujaza maswali utakayoulizwa ikiwemo majina yako kamili, namba ya simu n.k. Mkopo ni instantly unatumiwa kwenye simu yako na wanakupa na repayment period. Application hii inafanya kazi only in Kenya and Tanzania. hakikisha una laini ya tigopesa au M PESA kwenye kujiunga hakikisha unatumia invite code hii eb25h utapata mkopo ndani ya dakika 5..
hawa jamaa hawakuombi hela yoyote labda kwenye kulipa deni ndo utalipa kwa riba na riba yao ndogo tu sio matapeli

Application nyengine inayoendelea kuwanufaisha Watanzania kwa mikopo moja kwa moja kwenye simu ni tala

Trust me these applications dont disappont. Unakuwa na hela sasa hivi.

Thank me later. Enjoy ur weekend
 
Wazushi hao jamaa zako,wanakopesha watu waliochoka,mtu ukijaza elimu yako ni ya FOrm Six hawakupi,wanataka wale waliochoka tu.
 
Wazushi hao jamaa zako,wanakopesha watu waliochoka,mtu ukijaza elimu yako ni ya FOrm Six hawakupi,wanataka wale waliochoka tu.
sasa unajaza elimu ili upate mkopo wa nn,na utalipaje.. wakat wenzako wanatak wafanya biashara wa aina yoyote ili kulipa isiwe tabu...cz hiyo ni biashara
 
Hawa jamaa huduma yao sio nzur sabb km umekopa jua kwmb utalipa hiyo riba na isitoshe unakatwa tena unapolipia kwny namba ya kampuni makato yanakua yako kwahy unakua unalipa gharama au riba mar mbili!
 
sasa unavyokatwa unajua nan anakata hzo hela kwny kulipa? kama sio tgo pesa au m pesa
 
Hawa jamaa huduma yao sio nzur sabb km umekopa jua kwmb utalipa hiyo riba na isitoshe unakatwa tena unapolipia kwny namba ya kampuni makato yanakua yako kwahy unakua unalipa gharama au riba mar mbili!
ni matapeli
 
kwenye hiyo invite code wewe unapata asilimia ngapi?
 
ulipataje huo mkopo?
Unapakua app zao playstore, unajisajili na kuingiza details wanazozitaka na kujibu baadhi ya maswali machache na mepesi then unaomba mkopo wako, fasta tu wanakupa. Tala nimechukua hata leo 80k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…