KUCH KUCH
JF-Expert Member
- Dec 18, 2015
- 1,327
- 966
Kiongozi hv Tala na branch nan wako vzrNataka nifike 1m kwa branch na tala 200k mwaka huu
Kiongozi hv Tala na branch nan wako vzrNataka nifike 1m kwa branch na tala 200k mwaka huu
Kila mmoja yupo vizuri... Sababu wanaanzia 20000Kiongozi hv Tala na branch nan wako vzr
Duuuh ipoje hii na wanaanzia sh ngapi?Kuna tigo nivushe *150*81#
Matharani ukaferi kulipa kwa dharura za hapa na pale,nn kitakutokea?hongera mimi tala bdo cjalipa deni lao 50k ila branch npo mbali soon nafka 1m
...haha, unataka ule 10Ukidownload application ya branch jaza promo code QUTOLP kupata mkopo wako
Endelea kunufaika na mikopo nafuu na haraka toka branch
...acha ujuaji, ushajaribu ukakosa mkopo? Mi nimeshakopa sana labda ungesema viwango vyao vinapanda taratibu ndo kinachoboahao ni scammer wanachotaka ni watu wengi waangalie app yao lakini mkopo hawatoi hata senti
...not trueWazushi hao jamaa zako,wanakopesha watu waliochoka,mtu ukijaza elimu yako ni ya FOrm Six hawakupi,wanataka wale waliochoka tu.
...ni Mara 100 ukope TALA hawa branch nimekopa 5x but nipo pale pale kwny 30, nikahamia TALA kila nikikopa na kulipa napanda 30k hata kama ni 2daysUna emergency yoyote na unahitaji pesa kwa haraka? Unahitaji mkopo? BRANCH ni Application iliyoanzishwa na Mzungu kutoka Marekani inayotoa mikopo direct kwenye simu yako. Unachohitaji ni kuDownload Application hii playstore na kujaza maswali utakayoulizwa ikiwemo majina yako kamili, namba ya simu n.k. Mkopo ni instantly unatumiwa kwenye simu yako na wanakupa na repayment period. Application hii inafanya kazi only in Kenya and Tanzania. hakikisha una laini ya tigopesa au M PESA kwenye kujiunga hakikisha unatumia invite code hii eb25h utapata mkopo ndani ya dakika 5..
hawa jamaa hawakuombi hela yoyote labda kwenye kulipa deni ndo utalipa kwa riba na riba yao ndogo tu sio matapeli
Application nyengine inayoendelea kuwanufaisha Watanzania kwa mikopo moja kwa moja kwenye simu ni tala
Trust me these applications dont disappont. Unakuwa na hela sasa hivi.
Thank me later. Enjoy ur weekend
Nyie ndio huwa mnatuponza sie wengine.Mkali wa wote hawa ni timiza ya airtel, ukichelewa kulipa wala hawakusumbui, ninamwezi wa pili wananidai 70,000 na awanitumii sms wala kunipigia.
Umetumia muda gani? Kufikisha iyo pesa mkuu, kwa kukopanimepata mkopo sana mpaka nimefika 500k