Jipatie mkopo unufaike hapa bongo...BRANCH ndiyo kampuni bora ya kutumia

Jipatie mkopo unufaike hapa bongo...BRANCH ndiyo kampuni bora ya kutumia

Branch wengi waliokosa ni kutokana na jina kuwa tofauti Facebook au account sio public
 
Naona umeweka CODE yako hapo mzee ili uwe unajipatia zile buku 10,000.

Ni mbinu nzuri pia uliyotumia.
 
Hawa jamaa huduma yao sio nzur sabb km umekopa jua kwmb utalipa hiyo riba na isitoshe unakatwa tena unapolipia kwny namba ya kampuni makato yanakua yako kwahy unakua unalipa gharama au riba mar mbili!
Kampuni ya TALA hawana huo utaratibu. Inakera sana.
 
Mimi huwa najiuliza ni vipi risk ya defaulters wanavyodili nayo.
 
Mkuu mtoa mada yupo sahihi kabisa hao branch wanatoa mie sijui nilipata bahati au sijui ni vipi lakni nilijaza fomu yao nkaomba mkopo nilianza na elfu 5 tu kwa wiki nw nimefika elfu 70 najua nkiilipa hio ntapanda mpka laki na nusu kwan huwa wako mara mbili unapolipa kwa wakati wanakulift mara mbili...Hata mimi mwanzoni nilikuwa siwaamini hasa hasa TALA wao nilishajaribu ila wakaninyima sikukidhi vgezo nkaamua kuachana nao na ndio maana nasema inawezekana kwa mie nilipata bahati kwa hawa brach lakn niseme wako vzuri sana anytym ukipata dharula uwe tu na bando ukiwatrace hapohapo mpesa inapokea mzigo
MKOPO UTANYIMWA KAMA MAELEZO YAKO UTASEMA HUNA KAZI.
 
Back
Top Bottom