Copy
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 1,072
- 1,382
Duuh! Kufikia 1M uko vzr sana broo... hongera sana.hongera mimi tala bdo cjalipa deni lao 50k ila branch npo mbali soon nafka 1m
Ulianza mwaka gani kukopa branch isee? Maana umechupa fasta sana!
Duuh! Kufikia 1M uko vzr sana broo... hongera sana.hongera mimi tala bdo cjalipa deni lao 50k ila branch npo mbali soon nafka 1m
Wanaangalia information kwenye simu yako kukupa initial credit scoreWazushi hao jamaa zako,wanakopesha watu waliochoka,mtu ukijaza elimu yako ni ya FOrm Six hawakupi,wanataka wale waliochoka tu.
nimeanza last year mzeeDuuh! Kufikia 1M uko vzr sana broo... hongera sana.
Ulianza mwaka gani kukopa branch isee? Maana umechupa fasta sana!
Ukipitisha lipa?nimeanza last year mzee
Mm ninekopa TALA ukilipia inakua vat tshs 0 tofaut na hao BRUNCH unakatwasasa unavyokatwa unajua nan anakata hzo hela kwny kulipa? kama sio tgo pesa au m pesa
Kibasa Patrick ACHA UONGOhongera mimi tala bdo cjalipa deni lao 50k ila branch npo mbali soon nafka 1m
Asee hongera kaka mie nipo kwnye elfu 70 jamaa wako vzuri sana tena sana ntajitahd niweze kufika huko ulipo wewehongera mimi tala bdo cjalipa deni lao 50k ila branch npo mbali soon nafka 1m
Mkuu mtoa mada yupo sahihi kabisa hao branch wanatoa mie sijui nilipata bahati au sijui ni vipi lakni nilijaza fomu yao nkaomba mkopo nilianza na elfu 5 tu kwa wiki nw nimefika elfu 70 najua nkiilipa hio ntapanda mpka laki na nusu kwan huwa wako mara mbili unapolipa kwa wakati wanakulift mara mbili...Hata mimi mwanzoni nilikuwa siwaamini hasa hasa TALA wao nilishajaribu ila wakaninyima sikukidhi vgezo nkaamua kuachana nao na ndio maana nasema inawezekana kwa mie nilipata bahati kwa hawa brach lakn niseme wako vzuri sana anytym ukipata dharula uwe tu na bando ukiwatrace hapohapo mpesa inapokea mzigoKibasa Patrick ACHA UONGO
member wote hawa wanakuambia Branch HAWAFAI bado unabisha
- Branch app yao ni ya kutulazimisha tuDownload (mara kwa mara inajitokeza kwenye simu hata ukiifuta inajirudia)
- Branch hata utimize vigezo wanaangalia acc yako ya tigo pesa au M-Pesa na wanajua km ina mzunguko au haina
- Branch wanakujibu subiri siku ingine
- Branch hawatoi mikopo km Tala
- Branch si wa kweli na ni wahovyo naomba watu waelekeze Tala
- Branch hatwako maki km Tala ambao member wanakutana hata Facebook
Mkuu hio laki 5 unalipa kwa muda gani?nimepata mkopo sana mpaka nimefika 500k
Mkuu promo code ya tala napatajeMi najenga credit history kwenye Tala, Branch na Tigo Nivushe maana huwezi jua dharura yatokea muda gani
Nilijaribu nikakosa mkopo nikaachana nao.Wanaangalia information kwenye simu yako kukupa initial credit score
Unapenda tukuwezeshe ulambe bonus eee??...
...
hakikisha unatumia invite code hii eb25h utapata mkopo ndani ya dakika 5..
hawa jamaa hawakuombi hela yoyote labda kwenye kulipa deni ndo utalipa kwa riba na riba yao ndogo tu sio matapeli
Application nyengine inayoendelea kuwanufaisha Watanzania kwa mikopo moja kwa moja kwenye simu ni tala
Trust me these applications dont disappont. Unakuwa na hela sasa hivi.
Thank me later. Enjoy ur weekend
Ikiwa Jina unalotumia FB silo uliloandikishia kwenye ID au Tigopesa,Nilijaribu nikakosa mkopo nikaachana nao.
Possible maana FB natumia jina tofauti na lililo kwenye M-Pesa.Ikiwa Jina unalotumia FB silo uliloandikishia kwenye ID au Tigopesa,