Jipatie mkopo unufaike hapa bongo...BRANCH ndiyo kampuni bora ya kutumia

Jipatie mkopo unufaike hapa bongo...BRANCH ndiyo kampuni bora ya kutumia

Kibasa Patrick ACHA UONGO
member wote hawa wanakuambia Branch HAWAFAI bado unabisha
  • Branch app yao ni ya kutulazimisha tuDownload (mara kwa mara inajitokeza kwenye simu hata ukiifuta inajirudia)
  • Branch hata utimize vigezo wanaangalia acc yako ya tigo pesa au M-Pesa na wanajua km ina mzunguko au haina
  • Branch wanakujibu subiri siku ingine
  • Branch hawatoi mikopo km Tala
  • Branch si wa kweli na ni wahovyo naomba watu waelekeze Tala
  • Branch hatwako maki km Tala ambao member wanakutana hata Facebook
tigo hairuhusiw kutoa data mtu za tgopesa ni private baba apo umedanganya nenda kaangalie sheria za mitandao kma hukupata mkopo pole yko
 
Mimi wananidai 36k, sijui nisipowalipa itakuaje yan
 
Ndo mnatoa mkopo wa elfu ishirini????? Hicho kisent mtu unafanyia nini labda vocha ....mnadharau sana nyinyi nataka kuanzisha biashara ya million tatu nakopa mnanipa elfu ishirini ebu kwendenii
 
Mimi nilikopa kote branch na tala, nitawalipa One day Mungu akipenda, ninadaiwa tigo 66k, Tala 40k, branch 80k, na nilikuwa nnakopa for fun..tigo sina mpango wa kuwalipa kabisa maana ni interest zangu wanaongezea kwenye mkopo
 
Apandacho mtu ndicho avunacho tena huzidishiwa!
 
Una emergency yoyote na unahitaji pesa kwa haraka? Unahitaji mkopo? BRANCH ni Application iliyoanzishwa na Mzungu kutoka Marekani inayotoa mikopo direct kwenye simu yako. Unachohitaji ni kuDownload Application hii playstore na kujaza maswali utakayoulizwa ikiwemo majina yako kamili, namba ya simu n.k. Mkopo ni instantly unatumiwa kwenye simu yako na wanakupa na repayment period. Application hii inafanya kazi only in Kenya and Tanzania. hakikisha una laini ya tigopesa au M PESA kwenye kujiunga hakikisha unatumia invite code hii eb25h utapata mkopo ndani ya dakika 5..
hawa jamaa hawakuombi hela yoyote labda kwenye kulipa deni ndo utalipa kwa riba na riba yao ndogo tu sio matapeli

Application nyengine inayoendelea kuwanufaisha Watanzania kwa mikopo moja kwa moja kwenye simu ni tala

Trust me these applications dont disappont. Unakuwa na hela sasa hivi.

Thank me later. Enjoy ur weekend
Tala mizinguo ila branch kwa nini ukimba pesa had uwe conected na fb?
 
Usipolipa wanakuweka CRB hutaweza kopa hata kwenye taasisi za mikopo kwani utaonekana defaulter mkubwa
 
Mimi nilikopa kote branch na tala, nitawalipa One day Mungu akipenda, ninadaiwa tigo 66k, Tala 40k, branch 80k, na nilikuwa nnakopa for fun..tigo sina mpango wa kuwalipa kabisa maana ni interest zangu wanaongezea kwenye mkopo
Hvi tigo unakopaje mkuu maana washanila sna hela zngu za vocha hawa
 
BRANCH wanashida upande wa marejesho unajikuta unakatwa na gharama ya marejesho inategemeana na kiwango unachorudisha kwa wiki unajikuta unalipa mpaka Tsh.500 kwa mtandao wa voda, wakati TALA ukiwa unarudisha deni lako hakuna makato mengine unyokutana nayo ni sawa na kulipia bili tu
 
Hili swala wengi wanalalamikia lakini jamaa hawana habari.
 
Back
Top Bottom