Jipatie mkopo unufaike hapa bongo...BRANCH ndiyo kampuni bora ya kutumia

hongera mimi tala bdo cjalipa deni lao 50k ila branch npo mbali soon nafka 1m
Duuh! Kufikia 1M uko vzr sana broo... hongera sana.
Ulianza mwaka gani kukopa branch isee? Maana umechupa fasta sana!
 
hongera mimi tala bdo cjalipa deni lao 50k ila branch npo mbali soon nafka 1m
Kibasa Patrick ACHA UONGO
member wote hawa wanakuambia Branch HAWAFAI bado unabisha
  • Branch app yao ni ya kutulazimisha tuDownload (mara kwa mara inajitokeza kwenye simu hata ukiifuta inajirudia)
  • Branch hata utimize vigezo wanaangalia acc yako ya tigo pesa au M-Pesa na wanajua km ina mzunguko au haina
  • Branch wanakujibu subiri siku ingine
  • Branch hawatoi mikopo km Tala
  • Branch si wa kweli na ni wahovyo naomba watu waelekeze Tala
  • Branch hatwako maki km Tala ambao member wanakutana hata Facebook
 
Mkuu mtoa mada yupo sahihi kabisa hao branch wanatoa mie sijui nilipata bahati au sijui ni vipi lakni nilijaza fomu yao nkaomba mkopo nilianza na elfu 5 tu kwa wiki nw nimefika elfu 70 najua nkiilipa hio ntapanda mpka laki na nusu kwan huwa wako mara mbili unapolipa kwa wakati wanakulift mara mbili...Hata mimi mwanzoni nilikuwa siwaamini hasa hasa TALA wao nilishajaribu ila wakaninyima sikukidhi vgezo nkaamua kuachana nao na ndio maana nasema inawezekana kwa mie nilipata bahati kwa hawa brach lakn niseme wako vzuri sana anytym ukipata dharula uwe tu na bando ukiwatrace hapohapo mpesa inapokea mzigo
 
Mi najenga credit history kwenye Tala, Branch na Tigo Nivushe maana huwezi jua dharura yatokea muda gani
 
Unapenda tukuwezeshe ulambe bonus eee??
Hata bila hiyo code tunaweza kujiunga vilevile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…