Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,902
- 3,572
Kampuni ya TALA hawana huo utaratibu. Inakera sana.Hawa jamaa huduma yao sio nzur sabb km umekopa jua kwmb utalipa hiyo riba na isitoshe unakatwa tena unapolipia kwny namba ya kampuni makato yanakua yako kwahy unakua unalipa gharama au riba mar mbili!
MKOPO UTANYIMWA KAMA MAELEZO YAKO UTASEMA HUNA KAZI.Mkuu mtoa mada yupo sahihi kabisa hao branch wanatoa mie sijui nilipata bahati au sijui ni vipi lakni nilijaza fomu yao nkaomba mkopo nilianza na elfu 5 tu kwa wiki nw nimefika elfu 70 najua nkiilipa hio ntapanda mpka laki na nusu kwan huwa wako mara mbili unapolipa kwa wakati wanakulift mara mbili...Hata mimi mwanzoni nilikuwa siwaamini hasa hasa TALA wao nilishajaribu ila wakaninyima sikukidhi vgezo nkaamua kuachana nao na ndio maana nasema inawezekana kwa mie nilipata bahati kwa hawa brach lakn niseme wako vzuri sana anytym ukipata dharula uwe tu na bando ukiwatrace hapohapo mpesa inapokea mzigo
Na humu pia una jina lingine.Possible maana FB natumia jina tofauti na lililo kwenye M-Pesa.
najua mzeeUnapenda tukuwezeshe ulambe bonus eee??
Hata bila hiyo code tunaweza kujiunga vilevile
Tala promo wanatoa buku mbili tu.Mkuu promo code ya tala napataje
m pesa sio shida tatzo id ykoPossible maana FB natumia jina tofauti na lililo kwenye M-Pesa.
Yes Huku Jingine ila linaendana na jina langu la Mfaume.Na humu pia una jina lingine.
nikupe yngu?Mkuu promo code ya tala napataje
ID ipi mkuu? Nielekeze nijiunge maana nanga inapaa hapa nimesitisha shuguli za porini kukata miti si unajua "Mzee wa Kiki" Kigwangala anazunguka maporini.m pesa sio shida tatzo id yko
Mkuu promo code ya tala napataje
hiyo apo M64LM9 .....tala promo codeMkuu promo code ya tala napataje
pole kitambulisho cha kura au taifaID ipi mkuu? Nielekeze nijiunge maana nanga inapaa hapa nimesitisha shuguli za porini kukata miti si unajua "Mzee wa Kiki" Kigwangala anazunguka maporini.
pole wanatoa sanaaaaa tena zaidi ya sanaHawatoi hela hawa mafara
mapema tu maamuz yko ya kila wiki mpka mwez unaishMkuu hio laki 5 unalipa kwa muda gani?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hao ni scammer wanachotaka ni watu wengi waangalie app yao lakini mkopo hawatoi hata senti
Ni TALA au BRANCH?pole kitambulisho cha kura au taifa