patric kibasa
Member
- Jul 20, 2018
- 21
- 13
- Thread starter
-
- #61
tigo hairuhusiw kutoa data mtu za tgopesa ni private baba apo umedanganya nenda kaangalie sheria za mitandao kma hukupata mkopo pole ykoKibasa Patrick ACHA UONGO
member wote hawa wanakuambia Branch HAWAFAI bado unabisha
- Branch app yao ni ya kutulazimisha tuDownload (mara kwa mara inajitokeza kwenye simu hata ukiifuta inajirudia)
- Branch hata utimize vigezo wanaangalia acc yako ya tigo pesa au M-Pesa na wanajua km ina mzunguko au haina
- Branch wanakujibu subiri siku ingine
- Branch hawatoi mikopo km Tala
- Branch si wa kweli na ni wahovyo naomba watu waelekeze Tala
- Branch hatwako maki km Tala ambao member wanakutana hata Facebook
zote ila tala kuna maswali mengi jarbu koteNi TALA au BRANCH?
Sio matapeli ila utaanza kukopeshwa elfu ishirini tuSio matapeli,
Okay Ngoja nijaribu sasa hivi.zote ila tala kuna maswali mengi jarbu kote
zoteNi TALA au BRANCH?
pole mzeeMimi wananidai 36k, sijui nisipowalipa itakuaje yan
Ni wasumbufu utapigiwa simu kila baada ya nusu saa, labda laini utupe.Mimi wananidai 36k, sijui nisipowalipa itakuaje yan
Poa tumia wwpole wanatoa sanaaaaa tena zaidi ya sana
Apandacho mtu ndicho avunacho tena huzidishiwa!Mimi nilikopa kote branch na tala, nitawalipa One day Mungu akipenda, ninadaiwa tigo 66k, Tala 40k, branch 80k, na nilikuwa nnakopa for fun..tigo sina mpango wa kuwalipa kabisa maana ni interest zangu wanaongezea kwenye mkopo
Tala mizinguo ila branch kwa nini ukimba pesa had uwe conected na fb?Una emergency yoyote na unahitaji pesa kwa haraka? Unahitaji mkopo? BRANCH ni Application iliyoanzishwa na Mzungu kutoka Marekani inayotoa mikopo direct kwenye simu yako. Unachohitaji ni kuDownload Application hii playstore na kujaza maswali utakayoulizwa ikiwemo majina yako kamili, namba ya simu n.k. Mkopo ni instantly unatumiwa kwenye simu yako na wanakupa na repayment period. Application hii inafanya kazi only in Kenya and Tanzania. hakikisha una laini ya tigopesa au M PESA kwenye kujiunga hakikisha unatumia invite code hii eb25h utapata mkopo ndani ya dakika 5..
hawa jamaa hawakuombi hela yoyote labda kwenye kulipa deni ndo utalipa kwa riba na riba yao ndogo tu sio matapeli
Application nyengine inayoendelea kuwanufaisha Watanzania kwa mikopo moja kwa moja kwenye simu ni tala
Trust me these applications dont disappont. Unakuwa na hela sasa hivi.
Thank me later. Enjoy ur weekend
Hvi tigo unakopaje mkuu maana washanila sna hela zngu za vocha hawaMimi nilikopa kote branch na tala, nitawalipa One day Mungu akipenda, ninadaiwa tigo 66k, Tala 40k, branch 80k, na nilikuwa nnakopa for fun..tigo sina mpango wa kuwalipa kabisa maana ni interest zangu wanaongezea kwenye mkopo
Hili swala wengi wanalalamikia lakini jamaa hawana habari.BRANCH wanashida upande wa marejesho unajikuta unakatwa na gharama ya marejesho inategemeana na kiwango unachorudisha kwa wiki unajikuta unalipa mpaka Tsh.500 kwa mtandao wa voda, wakati TALA ukiwa unarudisha deni lako hakuna makato mengine unyokutana nayo ni sawa na kulipia bili tu
Kwan kiongozi, kati ya Tala na branch nan bomba?hongera mimi tala bdo cjalipa deni lao 50k ila branch npo mbali soon nafka 1m