Jipatie mkopo unufaike hapa bongo...BRANCH ndiyo kampuni bora ya kutumia

Kiongozi hv Tala na branch nan wako vzr
Kila mmoja yupo vizuri... Sababu wanaanzia 20000

TALA
ujibu maswali vizuri, ujibu majibu ya kuonesha unaweza rejesha mkopo wao. (Useme una kazi) kiwango cha mwisho ni 300k

BRANCH
Uwe na fb account yenye jina linalo fanana na la vitambulilisho vyako, pia uwe na marafiki na account iwe ni picha zako.
Kiwango cha mwisho 1M
 
Ukitaka kujiunga na Branch promo code UEJBJI, pro code ya TALA ni 8Z68CF. Yajayo yanafurahisha kazi kwako.
 
hao ni scammer wanachotaka ni watu wengi waangalie app yao lakini mkopo hawatoi hata senti
...acha ujuaji, ushajaribu ukakosa mkopo? Mi nimeshakopa sana labda ungesema viwango vyao vinapanda taratibu ndo kinachoboa
 
...ni Mara 100 ukope TALA hawa branch nimekopa 5x but nipo pale pale kwny 30, nikahamia TALA kila nikikopa na kulipa napanda 30k hata kama ni 2days
 
Mkali wa wote hawa ni timiza ya airtel, ukichelewa kulipa wala hawakusumbui, ninamwezi wa pili wananidai 70,000 na awanitumii sms wala kunipigia.
 
Hawa jamaa tala na branch cjui niwafanyaje wanasumbua sana na madeni yao ctaki kuwalipa
 
Nashindwa kuelewa akili za wabongo zipoje sasa hawa jamaa wameweka mfumo wakukopa kwanzia elfu 20 sasa hii pesa utafanyi kitu gani cha msingi kikutoe kimaisha zaidi zaidi ni kama kuinufaisha kampuni tu
 
Mkali wa wote hawa ni timiza ya airtel, ukichelewa kulipa wala hawakusumbui, ninamwezi wa pili wananidai 70,000 na awanitumii sms wala kunipigia.
Nyie ndio huwa mnatuponza sie wengine.

Mimi nanufaika sana na timiza, nachukua mpaka laki tani...sema tatizo riba hizi wangezirekebisha, laki tano kwa wikimbili unalipa elfu 57.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…