INAUZWA Jipatie ramani kali ya nyumba ya ghorofa moja

INAUZWA Jipatie ramani kali ya nyumba ya ghorofa moja

0678418272 WhatsApp
FB_IMG_1658995114821.jpg
FB_IMG_1658995111396.jpg
FB_IMG_1658995125330.jpg

Ina vyumba vi3 vya kulala, kimoja master
-Sebule
-Dining
-Jiko + store
-Choo
-Veranda mbele na nyuma

Urefu mita 11.8
Upana mita 10.5

HESABU ZA MSINGI🙁BAADHI)
Totali - 1200
Cement - 37mifuko
Nondo - 28

HESABU ZA KUPANDISHA KUTA🙁BAADHI)
Tofali - 2,200
Cement - 50

HESABU ZA PAA:
Bati - 125
Mbao 4 by 2 ndefu - 100
Mbao 2 by 2 ndefu - 80

KTK KIWANJA TAMBARALE
Nione WhatsApp

0678418272
👇🏽👇🏽👇🏽
 
Katamu haka...ilannyie kwa nini wataalma hamtaki kuweka estimated costs za mjengo?
Mara nyingi anapewa yule aliyenunua raman ama kutoa kazi ya ujenzi....kwa sabab nayo ni kazi km kazi zingine boss
 
Nina wajenzi wang boss
Ntakutafuta tuyajenge soo saivi nipo mkoani, namba yako nshachukua ila naomba kufahamishwa ramani yenye mihuri na isiyo na mihuri tofauti yake nini?
Je, kama ina mihuri silazimiki kuomba kibali cha ujenzi ama?
 
Yenye muhuri maana yake ni kuonesha kwamba raman imetoka ktk ofisi inayohusika na kutambulika kwa kazi za uchoraji raman za majengo na pia kunakuwa na sign(sahihi) ya architect..hii ni kwa ajili ya kwenda kuombea kibali cha ujenzi...inategemea unajenga mahala gan,lkn sio kwmba ikiwa na muhuri hutakiwi kuomba kibali,bali ikiwa na muhuri ndio njia moja wapo ya kukubaliwa kupewa kibali cha ujenzi na manispaa husika
 
Back
Top Bottom