EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Kibali kwa nyumba kama hiyo kinagharimu shilingi ngapi?Yenye muhuri maana yake ni kuonesha kwamba raman imetoka ktk ofisi inayohusika na kutambulika kwa kazi za uchoraji raman za majengo na pia kunakuwa na sign(sahihi) ya architect..hii ni kwa ajili ya kwenda kuombea kibali cha ujenzi...inategemea unajenga mahala gan,lkn sio kwmba ikiwa na muhuri hutakiwi kuomba kibali,bali ikiwa na muhuri ndio njia moja wapo ya kukubaliwa kupewa kibali cha ujenzi na manispaa husika