Router yako aina gani?Kama nna router yangu ya Voda lazima nilipie hiyo deposit security? Tofauti ya kununua router na kulipa deposit security ni ipi?
Karibu ofisini kwetu mkuu. Location nimekupatia.Wizi tu, security deposit is buying the router kwa lugha ingine, mtashuka tu mapaka 45,000/- , internet is now kila mahali.
Karibu ofisini kwetu mkuu. Location nimekupatia.
Shukrani. Lakini pia naweza kukupatia huduma ya kukuunganisha M2M ili ufurahie gharama nafuu zaidi za vifurushi. Mfano Gb 30 kwa elfu 30 TU kwa siku 30. Kama si wewe hata ndugu unaweza kumuunga hii.Nina stable internet tayari, shukrani sana.
Kama mnaweza kuuza internet kwa 60,000 kwa wanajeshi mnashindwa nini kuuza bei hiyo kwa raia wengine?Unlimited ni huduma inatolewa kwa wateja wa router, kiutaratibu router za Vodacom ni bure isipokuwa mteja atalipia service ambayo ni Internet.
Package ni kama ifuatavyo.
•Router yenye Mbps 10, malipo ya awali ambayo ni security deposit ni 120,000/= halafu malipo ya Kila mwezi ni 60,000/= walengwa wa router hizi ni WANAJESHI, POLICE, SHULE NA HOSPITALI ZA SERIKALI. Hapa mhusika atatakiwa kuwa na barua ya utambulisho kutoka ofisini kwake, TIN yake, Kitambulisho ambacho kinatambulika na serikali.
•Router yenye Mbps 10, malipo ya awali ambayo ni security deposit ni 140,000/= halafu malipo ya Kila mwezi ni 70,000/=. Walengwa wa router hizi ni PHARMACY. Hapa mhusika atatakiwa kuwa TIN yake binafsi pamoja na TIN ya ofisi, kitambulisho ambacho kinatambulika na serikali, Leseni ya ofisi.
•Router yenye Mbps 30, malipo ya awali ambayo ni security deposit ni 240,000/= halafu malipo ya Kila mwezi ni 120,000/=. Walengwa wa router hizi ni MTU BINAFSI/ KAMPUNI. Hapa mhusika atatakiwa kuwa na TIN, kitambulisho ambacho kinatambulika na serikali na leseni ya biashara kwa wenye Kampuni.
Router hizi ni kwa wateja wa Vodacom tu.
Mteja unaweza ukasema ulipo naweza nikakufuata kwa ndani ya DAR na PWANI. Au unaweza kuja moja kwa moja ofisini kwetu Sinza Kijiweni kwenye jengo la Emirates 3rd floor.
0795790411
Karibu ofisini kwetu mkuu. Location nimekupatia.
Shukrani. Lakini pia naweza kukupatia huduma ya kukuunganisha M2M ili ufurahie gharama nafuu zaidi za vifurushi. Mfano Gb 30 kwa elfu 30 TU kwa siku 30. Kama si wewe hata ndugu unaweza kumuunga hii.
Hii huduma naitakaShukrani. Lakini pia naweza kukupatia huduma ya kukuunganisha M2M ili ufurahie gharama nafuu zaidi za vifurushi. Mfano Gb 30 kwa elfu 30 TU kwa siku 30. Kama si wewe hata ndugu unaweza kumuunga hii.
Kama mnaweza kuuza internet kwa 60,000 kwa wanajeshi mnashindwa nini kuuza bei hiyo kwa raia wengine?
Hii nitakaShukrani. Lakini pia naweza kukupatia huduma ya kukuunganisha M2M ili ufurahie gharama nafuu zaidi za vifurushi. Mfano Gb 30 kwa elfu 30 TU kwa siku 30. Kama si wewe hata ndugu unaweza kumuunga hii.
Karibu, jukumu langu ni kukuunganisha na mfumo ili upate hizo package. Zoezi linakamilika ndani ya muda mfupi sana.Hii nitaka
Karibu, jukumu langu ni kukuunganisha na mfumo ili upate hizo package. Zoezi linakamilika ndani ya muda mfupi sana.Hii huduma naitaka
ribu, jukumu langu ni kukuunganisha na mfumo ili upate hizo package. Zoezi linakamilika ndani ya muda mfupi sana.
Mahitaji ni Majina yako, TIN, Namba ya Voda na Namba ya ziada, Email. Pamoja na namba za NIDA.
Whatsapp/Call/Msg 0795790411.
Au kama upo karibu na unahitaji face to face nakufuata mkuu.
Mkuu wewe ni nani hapo Vodacom?Karibu, jukumu langu ni kukuunganisha na mfumo ili upate hizo package. Zoezi linakamilika ndani ya muda mfupi sana.
Mahitaji ni Majina yako, TIN, Namba ya Voda na Namba ya ziada, Email. Pamoja na namba za NIDA.
Whatsapp/Call/Msg 0795790411.
Au kama upo karibu na unahitaji face to face nakufuata mkuu.
Mimi ni telesales, nimekupa location ya ofisi. Karibu nikuhudumie boss wangu. Wakati mwingine kuamini ni kuona.Mkuu wewe ni nani hapo Vodacom?
Naomba ujielezee vizuri tukuelewe
Pesa ya kujiunga unalipia mwenyewe hapo ulipo.Hii nitaka