Jipatie Unlimited bando kutoka Vodacom, kuanzia elfu 70,000/= tu.

Jipatie Unlimited bando kutoka Vodacom, kuanzia elfu 70,000/= tu.

1000005287.jpg
 
Ni bure boss wangu, hiyo security utakaposema huduma uhitaji tena inarudi kwako mkuu. Labda itokee uliskip mwezi hukulipa itajazia kwenye deni lako. Bado huoni kuwa device ni bure??
kama pesa ya securty inarudi kwangu na vp kuhusu hio router mliyotoa bure nawarudishieni au mnaniachia bure.?
 
Wizi tu, security deposit is buying the router kwa lugha ingine, mtashuka tu mapaka 45,000/- , internet is now kila mahali.
Nadhani ndiyo product inashika, kasi bei zitashuka.
All in all ni bora kulipa hiyo security deposit kuliko uambiwe ughalamikie router nzima.
 
Ajabu niliyoona ni kwamba watu wenye ajira kama wanajeshi, mashule, mahospitali nakadhalika wanauziwa unlimited kwa bei ndogo huku mtu wa kawaida mwenye kipato kidogo anauziwa internet bei ghali.

So far naona Airtel router wapo vizuri kulinganisha na makampuni mengine.

Airtel hakuna cha security deposit wala nini badala yake kwa mara ya kwanza mteja mpya unalipia Tsh. 110,000 ya unlimited internet kwa mwezi kwa 20Mbps kisha baada ya hapo unaweza kuchagua kulipia 70,000 Tsh kwa 20Mbps kwa mwezi.

Hapo kifaa kinakuwa cha kwako hata uki skip malipo hakuna shida ukipata pesa unalipia unaliamsha dude kama kawa.
 
Nahitaji gb30 npe utaratibu dm.
Mteja atatakiwa kunipatia
Majina yake
Namba yake ya Voda
Alternative namba
NIDA/Voter ID/Leseni ya Udereva
TIN
email

Mteja akikamilisha hivyo vitu itatengenezwa kitu kinaitwa V-akaunti ambayo itampa access mteja kupata vifurushi hivyo nafuu.

ANGALIZO, hakuna pesa itaombwa kulipia huduma ya kuunganishwa, isipokuwa mteja atalipia kiasi kutokana na kifurushi alichochagua.

Mteja akishapata V-akaunti atajiunga kupitia M-pesa.

Karibu tusherehekee miaka 25 ya Vodacom kwa vifurushi vya gharama nafuu zaidi.
 
Unlimited ni huduma inatolewa kwa wateja wa router, kiutaratibu router za Vodacom ni bure isipokuwa mteja atalipia service ambayo ni Internet.

Package ni kama ifuatavyo.

•Router yenye Mbps 10, malipo ya awali ambayo ni security deposit ni 120,000/= halafu malipo ya Kila mwezi ni 60,000/= walengwa wa router hizi ni WANAJESHI, POLICE, SHULE NA HOSPITALI ZA SERIKALI. Hapa mhusika atatakiwa kuwa na barua ya utambulisho kutoka ofisini kwake, TIN yake, Kitambulisho ambacho kinatambulika na serikali.

•Router yenye Mbps 10, malipo ya awali ambayo ni security deposit ni 140,000/= halafu malipo ya Kila mwezi ni 70,000/=. Walengwa wa router hizi ni PHARMACY. Hapa mhusika atatakiwa kuwa TIN yake binafsi pamoja na TIN ya ofisi, kitambulisho ambacho kinatambulika na serikali, Leseni ya ofisi.

•Router yenye Mbps 30, malipo ya awali ambayo ni security deposit ni 240,000/= halafu malipo ya Kila mwezi ni 120,000/=. Walengwa wa router hizi ni MTU BINAFSI/ KAMPUNI. Hapa mhusika atatakiwa kuwa na TIN, kitambulisho ambacho kinatambulika na serikali na leseni ya biashara kwa wenye Kampuni.

Router hizi ni kwa wateja wa Vodacom tu.

Mteja unaweza ukasema ulipo naweza nikakufuata kwa ndani ya DAR na PWANI. Au unaweza kuja moja kwa moja ofisini kwetu Sinza Kijiweni kwenye jengo la Emirates 3rd floor.

0795790411
Hamko serious, yani hamjalenga watumiaji wa kawaida.
Ngoja tuendelee kutiririka na airtel kwanza wameongeza kwa 70000 kutoka 20mbs to 25 mbs.
 
Unlimited ni huduma inatolewa kwa wateja wa router, kiutaratibu router za Vodacom ni bure isipokuwa mteja atalipia service ambayo ni Internet.

Package ni kama ifuatavyo.


•Router yenye Mbps 30, malipo ya awali ambayo ni security deposit ni 240,000/= halafu malipo ya Kila mwezi ni 120,000/=. Walengwa wa router hizi ni MTU BINAFSI/ KAMPUNI. Hapa mhusika atatakiwa kuwa na TIN, kitambulisho ambacho kinatambulika na serikali na leseni ya biashara kwa wenye Kampuni.

Router hizi ni kwa wateja wa Vodacom tu.

Mteja unaweza ukasema ulipo naweza nikakufuata kwa ndani ya DAR na PWANI. Au unaweza kuja moja kwa moja ofisini kwetu Sinza Kijiweni kwenye jengo la Emirates 3rd floor.

0795790411
Wengi tuko category hii ya juu (binafsi). Sasa cha bure kiko wapi hapo wakati unalipia 240,000/- na halafu 120,000/- kwa mwezi?
 
Wengi tuko category hii ya juu (binafsi). Sasa cha bure kiko wapi hapo wakati unalipia 240,000/- na halafu 120,000/- kwa mwezi?
Hiyo security deposit wakati utakapoona huduma hutoitumia tena inarudishwa kwako. Au ikitokea mwezi mambo yako hayaenda vizuri ukashindwa kulipia basi itatumika sehemu ya hiyo ya 240000/=
 
Kama unatumia halotel, hii si ya kukosa.
GB 7, sh.7,000
GB 14, sh.13,000
GB 21, sh.15,000
GB 28, sh.20,000
GB 35, sh.25,000
GB 42, sh.30,000
GB 49, sh.35,000
GB 56, sh.40,000
Vifurushi vyote ni vya miezi 4.
Ukihitaji Nicheki 0713136684 au Follow this link to join my WhatsApp group: GB ZA HALOTEL
Hii huduma bado ipo wadau, karibuni sana.
Ukihitaji piga/WhatsApp 0713136684
 
Back
Top Bottom