Jipatie Unlimited bando kutoka Vodacom, kuanzia elfu 70,000/= tu.

Jipatie Unlimited bando kutoka Vodacom, kuanzia elfu 70,000/= tu.

Ajabu niliyoona ni kwamba watu wenye ajira kama wanajeshi, mashule, mahospitali nakadhalika wanauziwa unlimited kwa bei ndogo huku mtu wa kawaida mwenye kipato kidogo anauziwa internet bei ghali.

So far naona Airtel router wapo vizuri kulinganisha na makampuni mengine.

Airtel hakuna cha security deposit wala nini badala yake kwa mara ya kwanza mteja mpya unalipia Tsh. 110,000 ya unlimited internet kwa mwezi kwa 20Mbps kisha baada ya hapo unaweza kuchagua kulipia 70,000 Tsh kwa 20Mbps kwa mwezi.

Hapo kifaa kinakuwa cha kwako hata uki skip malipo hakuna shida ukipata pesa unalipia unaliamsha dude kama kawa.
Hii imekaa vizuri
 
Uzuri wa hii kampuni ni kwamba ukiwa mteja wao mtiifu wanakuona fala. Line yako ikiwa imefikisha miaka mingi hakuna unafuu wowote unaoupata isipokuwa unafuu upo kwa line mpya
 
Back
Top Bottom