Jipatie Unlimited bando kutoka Vodacom, kuanzia elfu 70,000/= tu.

Ni bure boss wangu, hiyo security utakaposema huduma uhitaji tena inarudi kwako mkuu. Labda itokee uliskip mwezi hukulipa itajazia kwenye deni lako. Bado huoni kuwa device ni bure??
kama pesa ya securty inarudi kwangu na vp kuhusu hio router mliyotoa bure nawarudishieni au mnaniachia bure.?
 
Wizi tu, security deposit is buying the router kwa lugha ingine, mtashuka tu mapaka 45,000/- , internet is now kila mahali.
Nadhani ndiyo product inashika, kasi bei zitashuka.
All in all ni bora kulipa hiyo security deposit kuliko uambiwe ughalamikie router nzima.
 
Ajabu niliyoona ni kwamba watu wenye ajira kama wanajeshi, mashule, mahospitali nakadhalika wanauziwa unlimited kwa bei ndogo huku mtu wa kawaida mwenye kipato kidogo anauziwa internet bei ghali.

So far naona Airtel router wapo vizuri kulinganisha na makampuni mengine.

Airtel hakuna cha security deposit wala nini badala yake kwa mara ya kwanza mteja mpya unalipia Tsh. 110,000 ya unlimited internet kwa mwezi kwa 20Mbps kisha baada ya hapo unaweza kuchagua kulipia 70,000 Tsh kwa 20Mbps kwa mwezi.

Hapo kifaa kinakuwa cha kwako hata uki skip malipo hakuna shida ukipata pesa unalipia unaliamsha dude kama kawa.
 
Nahitaji gb30 npe utaratibu dm.
Mteja atatakiwa kunipatia
Majina yake
Namba yake ya Voda
Alternative namba
NIDA/Voter ID/Leseni ya Udereva
TIN
email

Mteja akikamilisha hivyo vitu itatengenezwa kitu kinaitwa V-akaunti ambayo itampa access mteja kupata vifurushi hivyo nafuu.

ANGALIZO, hakuna pesa itaombwa kulipia huduma ya kuunganishwa, isipokuwa mteja atalipia kiasi kutokana na kifurushi alichochagua.

Mteja akishapata V-akaunti atajiunga kupitia M-pesa.

Karibu tusherehekee miaka 25 ya Vodacom kwa vifurushi vya gharama nafuu zaidi.
 
Hamko serious, yani hamjalenga watumiaji wa kawaida.
Ngoja tuendelee kutiririka na airtel kwanza wameongeza kwa 70000 kutoka 20mbs to 25 mbs.
 
Wengi tuko category hii ya juu (binafsi). Sasa cha bure kiko wapi hapo wakati unalipia 240,000/- na halafu 120,000/- kwa mwezi?
 
Wengi tuko category hii ya juu (binafsi). Sasa cha bure kiko wapi hapo wakati unalipia 240,000/- na halafu 120,000/- kwa mwezi?
Hiyo security deposit wakati utakapoona huduma hutoitumia tena inarudishwa kwako. Au ikitokea mwezi mambo yako hayaenda vizuri ukashindwa kulipia basi itatumika sehemu ya hiyo ya 240000/=
 
Hii huduma bado ipo wadau, karibuni sana.
Ukihitaji piga/WhatsApp 0713136684
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…