Jirani anafosi nimle, mimi naona so

Mwanaume umekaa zako eti unamwandikia mwanamke kakupendea nini nikisema pipa na mfuniko zimekiutana ntakua nmekosea.

daaah huyu jamaa kwanza mshamba kinoma yan hapo tunampiga nyundo km juventus adondoshe point yan huyi jamaa km alikuw top four kweny ligi bhad ningemshusha mpk nafas ya 6
 
we jamaa umezingua
 
Mkuu
KΕ΅a hiyo unataka uehauri?
 
Dah na wewe unanipiga nyundo
Kuna kahisia kananiambia, jamaa alikuwa anatuma msg na simu ndogo, kisha ana jijibu na simu kubwa...

Anyway, I hope sio kweli πŸ˜…πŸ˜…
ya utosi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…